DIAMOND NI MSANII MASHUHURI NA SIO MAARUFU.

DIAMOND NI MSANII MASHUHURI NA SIO MAARUFU.

Sawa kabisa hii ndio tifauti yao na Cash Money jamaa ameshindwa kutofautisha lebel na media
Wewe hunaga cha kuandika zaidi ya hiki?
Nitajie media zinazomilikiwa na cash money au G unit kisha ndio uandike hicho ulichokiandika
Wasafi ni media yani hata wakishindwa muziki wote wasafi itaendelea ku-exists.

Wasafi is a business team wanafikiria mbali, mfano ikitokea alikiba akaacha muziki leo nyimbo zake zitapigwa miaka kadhaa na atasahaulika kiburudani ila mond hawezi kusahaulika kwa sababu ya media power
 
sasa kuna tatizo gani kama wewe ukimtazama diamond hivyo wakati mke wako na michepuko yake mitatu inamfikiria kivingine

Note:samahani kama nilichocomment hakiendani na mudhui ya huu uzi kwani nimesoma kichwa cha thread peke yake
 
Ni undisputed fact kuwa kwa sasa hapa nchini TZ hakuna msanii mwenye mafanikio kimuziki kama Diamond Platnumz. Hata washindani wake nao wanafahamu hili.
 
UKitaka kujua kiwango cha mashoga nchi hii,angalia watu wanaomtukuza diamond.
Jinsi muziki wake ulivyoleta damage kwenye maadili,tabia zake za kufuga mashoga,na anavyowarahisishia wanaume wakware kulawiti watoto wa kike,ingetosha watu kutomkubali lakini ni wazi wanaomkubali ni wanufaika wa mambo yake ya kishetani
 
Back
Top Bottom