Nje ya box
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 241
- 251
Peleka kichaa huko
Hii topic Sio ya Chama. Mtasubiri sana mabadiliko kama bado vichwa vyetu vimelala hata akiwa Le mutuz raisi bado mtasubiri mabadiliko yanaanzia nyumbani kwako. Wewe umebadilika?Akawakatikie viuno CCM.CCM OUT
Wivu tu ndio unaokusumbua, wewe ndio kichaa kuchukia maendeleo ya wenzenu. Ndio maana masikini, wewe hapo unanii
Eti namchukia Diamond kisa yeye ni CCM mtasubiri sana hayo mabadiliko kama Sisi wenyewe wananchi hatabadiliki
Utapasuliwa wewe kwanza achana na wivu wa kijinga. Maendeleo ndio unayoyataka ya kufuata Nguvu za Giza. Watz bado maendeleo sana kwanza jitambue kwanza na Sio kufuata mkumbuko hujui unachotakaDada Samahani umeshawahi kupasuliwa mayai mawili ya kuku wa kienyeji na kupakwa Colgate kwa juu ya huo mlango wako wa uani,kama bado endelea lkn kama tayari utaacha kunijibu
Utapasuliwa wewe kwanza achana na wivu wa kijinga fats maendelea na ujitambue Sio kufuata mkumbuko hujui unachotaka
Atakupitia wewe kwanza ndio aje KwanguOohoo kumbe bado,jitayarishe namtuma juma akupitishie trei nzima ya mayai na Colgate kubwa, Bill ni juu yangu
Atakupitia wewe kwanza ndio aje Kwangu
Ndio maana watanzania maisha duni kabisa hamtaki kujituma na kufanya kazi kwa bidii mnasubiri maisha ya kubahatisha. Mtasubiri sana ndio maana nimeamua mwaka huu kutokuwa na Chama kwasababu tatizo haliko kwa raisi atakayechagulia tatizo liko kwa wananchi tujue kwanza nini tunahitaji na Sio kufuata mkumbo
Nayasubiri hayo Mayai nikutengenezee uyale wakati umelala ukiamka utakuwa umemkubali Daimond kuwa ni king of popHahaha naona una matatizo wewe kuna sehem nimeongelea mambo ya vyama hapa,aisee naona juma amechelewa ngoja nimtume kaka jambazi akupitishie trei nzima ya mayai ya mbuni
Nayasubiri hayo Mayai nikutengenezee uyale wakati umelala ukiamka utakuwa umemkubali Daimond kuwa ni king of pop
Hii topic Sio ya Chama. Mtasubiri sana mabadiliko kama bado vichwa vyetu vimelala hata akiwa Le mutuz raisi bado mtasubiri mabadiliko yanaanzia nyumbani kwako. Wewe umebadilika?
Huyu kijana kanifurahisha sana hakusahau alipotoka baada ya kufanikiwa. Kajijenga kwa umri mdogo sana, pesa haijamsumbua kufanya ya walimwengu kwa umri mdogo alionao. Ameweza kuepuka na temptation nyingi za dunia na kufocus on what he needs. Anaelewa kabisa kwenye hii industry unaweza kushuka haraka bila kutegemea kama wengi wanamuziki wa bongo akajua namna ya ku invest kwenye kujenga majumba na kuwa na ubia kwenye mashirika makubwa
Ni wangapi wameshika hela kama Diamond na hawajaweza kufanya aliyoyafanya Diamond at that age.
Diamond alikuwa na haki zote pamoja na umri wake kuwa mdogo na fame aliyoyanayo kulala kwenye maclubs, kupuliza, kubadilisha wanawake kama nguo
Mwenye masikio atasikia na mwenye macho ataona
Diamond ni mfano wa kuigwa Sio tu kwa wasanii bali na Kwetu sisi
Huyo mtoto anaweza kuretire at 30 yrs na kula raha mpaka 75 kwa maisha ya kitanzani
Ni go getter na hard working
Big up boy
diamond kwishney . utajili wa wanamuziki huwa haudumu aisee kamuulize 50 cent atakusimulia au Michael Tyson