Diamond na saa fake

herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,962
3,189
Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.

Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa kavaa saa hiyo baada ya masaa machache ukurusa unaotambulika kama fake watch ukurasa unaofuatiliwa na wasanii mbalimbali na wakubwa duniani ikiwa na Kanye west, Chris Brown, Justin Bieber na wengine wengi mtandao unaojihusisha na vitu fake pia ulipost picha hyo ikieleza kuwa saa iliyovaliwa ni msanii huyo ni fake.
 
Back
Top Bottom