playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
Wanaume wa Ujiji kigoma mnafanya nn kwenye hizi page.Uzi tayari.
Wanaume wa dar mna mambo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa Ujiji kigoma mnafanya nn kwenye hizi page.Uzi tayari.
Wanaume wa dar mna mambo sana
Tusameheni wanawake zetu,wanaume zenu hizi ndo shughuli zetu.Wanaume wa dar mnatuaibisha Sana sijui tatizo lipo wapi aisee
Pesa HALALO ndo pesa gani?Kiukweli kaka unatuabisha
Unafuatlia mpaka saa ya mwanaume mwenzako aliyonunua kwa pesa yake halalo
Ilaa kwa sababu inahusu wapuuzi ngoja tu deal nayoTeam Chibunye Wanamponda team Chibunye Mwenzao, Kwakua kaleta habari ya kumuaibisha boss wao
Kiukweli hii habari ya Kipuuzi