Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
kwa wapenzi woote wa music wa Diamond..kaa tayari kwa video ya wimbo mpya kabisa wa diamond..video inayorecodiwa nje kabisa ya Africa mashariki
kwa maandalizi yanayofanywa inatalajiwa kuwa aiana ya video ambayo hakuna mwana bongo fleva aliyewahi ifanya..keep waitn


❤ MAHABA NIZAMISHE DUBWIIIII

 SONG : MDOGOMDOGO

{Verse 1}
Nimetembea tembea Bara na
visiwani...
ila nikajionea we ndio my
Number one..
Natamani nikupe ila sina
nimejaliwa upendo heshima..
Maneno yao matamu yasikuibe
mama....
si unajua binadamu wabaya
sana...

Wanawivu hao, wachonganishi
hao ( ×2)
usije niacha kwa unyonge
nachechemea... Utamu wa
finyango na tonge
ukanielemea...
Usije niacha kwa Unyonge
nachechemea...
Utamu wa finyango na tonge
ukala kwangu...

{Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje!

{Verse 2}
Kidogo nikileta Mumypti
usinune..
Nikumbatie unikiss nijivune..
Kesho nizidishe ufanisi
nijitumee..
Tujenge hadi nyumba Paris
Wanunee....
Vimichezomichezo vya Saloon
chunga wakipanga...
Wasije kukufunza vya uhuni
ukawa unadanga...

Ukaanza safari Mchana jua kali,
usiku haulali ayaah! ( ×2)
Wanawivu hao, wachonganishi
hao ( ×2)
Ukaanza safari, Mchana juakali,
Usiku haulali Aah yaya..!

{Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje!

{Bridge}
Mdogomdogo
Mdogomdogo (Usijali mama)
Mdogomdogo (We wacha
waongee)
Mdogomdogo (Usiku na
mchana)

Mdogomdogo (Mpaka
wanyongee)

Mdogomdogo (Na ntakupenda
sana)

Mdogomdogo (Mahaba
ninyongee)

Mdogomdogo (sijali lawama)

Mdogomdogo (acha wanizonge)

Mdogomdogo (kachirikachiri)

Mdogomdogo (kachiri we ngao
yangu)

Mdogomdogo (mwenzako
taabani)

Mdogomdogo (nilindie roho
yangu)
Mdogomdogo (wasije wa furani)

Mdogomdogo (wakaiba tamu
yangu)

{Ending Chrous}
Mwendaazim kaingiaje

Mwendaazim kaingiaje

Mwendaazim kaingiaje

Mwendaazim kaingiaje

Mwendaazim kaingiaje
(mdogomdogo)

Mwendaazim kaingiaje
(mdogomdogo)

Mwendaazim kaingiaje
(mdogomdogo)

Mwendaazim kaingiaje
(mdogomdogo)
 
Last edited by a moderator:
wewe jamaa ni mjinga we ndio unajitia afisa habari wake na hata akujui et video nje ya east africa nini sasa kwani apo we unatoa info au umefanya janja janja 2 ili na wewe uonekane uko na ukaribu na jamaa#
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1404765562.448636.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1404765562.448636.jpg
    142.6 KB · Views: 1,314
Last edited by a moderator:
naunga mkono kutafuta tune yetu ila hii nyimbo imekaa kizaramozaramo mno, itakuwa maarufu sana kwa waswazi na kwenye vigodoro lakini kwangu hapana.

kampuni aliyoingia nayo mkataba wa shooting imemtendea haki kwa kumchanganyia na wazungu kimtindo kimtindo, kampuni liyofanya shooting inajuwa kufanya biashara na mtu mweusi.
 
naunga mkono kutafuta tune yetu ila hii nyimbo imekaa kizaramozaramo mno, itakuwa maarufu sana kwa waswazi na kwenye vigodoro lakini kwangu hapana.

kampuni aliyoingia nayo mkataba wa shooting imemtendea haki kwa kumchanganyia na wazungu kimtindo kimtindo, kampuni liyofanya shooting inajuwa kufanya biashara na mtu mweusi.
nimesikitika sana video ya ukweli halafu wimbo wa kipuuzi
 
Acha aupaishe mnanda wetu, mbona wanaigeria wanatamba na ngoma zao, tena cha maana wanachoimba hamna ila mdundo tu tunachizika.
tujifunze kupenda vya kwetu...
 
Acha aupaishe mnanda wetu, mbona wanaigeria wanatamba na ngoma zao, tena cha maana wanachoimba hamna ila mdundo tu tunachizika.
tujifunze kupenda vya kwetu...

wewe utakuwa ni mzaramo au mswahili mswahili hivi siyo bure. pale diamond kakosa washauri shooting angefanyia msanga au rufiji kwa bajeti isiyozidi million 10.

waliofanya shooting hii ndio ilipaswa washoot my namba one
nyimbo ingeendana na shooting nadhani hata dovido angetemeshwa tuzo moja huyu dogo angepata.
 
Tatizo wabongo mnaangalia videos tu Audio walaa yani wabongo watu waajabu sana yani mkiangalia audios zote za hizo videos mnazosifia ujinga hapa mboovu, yani bora na kidogo hiyo mdogo mdogo sasa hiyo burn burn audio mbovu jamaa kajidai kuimba kingereza cha kinigeria ndio kabisaa kaharibu!!
 
Back
Top Bottom