chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,981
Msanii Diamond atafanya kolabo na msanii Mohombi, hii ni baada ya kukutana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika juzi
Daah uyu ndomnyama dadeq mbona mwana anatoboa kisee,,,,,, hahahaa safi sana kijana tunakuona
kama unakaukweli fulani vile,maana duhMziki wake ulikufa jumamosi usiku kule Johannesburg hata afanye colabo na nani hatohit tena
Ngumu kumeza hii