Diamond kishampiga chini mwarabu fighter

Diamond kishampiga chini mwarabu fighter

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
jamaa ameamua kuwapiga chini kisa shutuma za uzurumati wa pesa na skendo ya sara wa harmonize ndio maana hata baada ya kupata ajali kimya hata kumpa pole
 
No worries, Diamond atalipa .
 
wcb jumba la kiki lile hii nayo imetengenezwa
 
Back
Top Bottom