The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 Jan 29, 2015 #21 hizo hirizi ni za mashabiki watu hawatumii uchawi kwa kutupa hirizi most of time hirizi ni kitu personal ambayo mtu huivaa kwa imani zake hizi story za kuuza magazeti
hizo hirizi ni za mashabiki watu hawatumii uchawi kwa kutupa hirizi most of time hirizi ni kitu personal ambayo mtu huivaa kwa imani zake hizi story za kuuza magazeti
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,064 Jan 29, 2015 #22 Haya mwisho wa siku,kwa wanaojua mziki wa RnB,hawawezi kumuacha Rama D,wengine uchawi tu ndo unawaweka kwenye chati,
Haya mwisho wa siku,kwa wanaojua mziki wa RnB,hawawezi kumuacha Rama D,wengine uchawi tu ndo unawaweka kwenye chati,
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,935 Reaction score 102,692 Jan 29, 2015 #23 Daaah nimecheka balaa. Hii nchi kama uchawi tu
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jan 29, 2015 #24 WABALLA Inc said: oyoooooooooooooooooooooooooooooooo Click to expand... tulia weyeeee hatupo club hapa
WABALLA Inc said: oyoooooooooooooooooooooooooooooooo Click to expand... tulia weyeeee hatupo club hapa
veronica.kyamba Senior Member Joined Sep 21, 2014 Posts 148 Reaction score 37 Jan 29, 2015 #25 merengo90 said: Una hakika ni waziri huyu ndo alisema hayooo ? Click to expand... Muulize vizuri bhana maana watu wengine waropokaji kweli midomo yao huwa inawaponza sana..
merengo90 said: Una hakika ni waziri huyu ndo alisema hayooo ? Click to expand... Muulize vizuri bhana maana watu wengine waropokaji kweli midomo yao huwa inawaponza sana..
ipocku Senior Member Joined Feb 27, 2014 Posts 111 Reaction score 32 Jan 29, 2015 #26 wanadumisha mila na desturi zao
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,638 Reaction score 40,219 Jan 29, 2015 #27 magazeti ya kitoto.
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Jan 29, 2015 #28 Jipu said: tulia weyeeee hatupo club hapa Click to expand... :msela: