Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Sa hii mbona ni sifa mbaya kwa Gwajima, Mkristu, mfuasi wa YESU kwa cheo cha uaskof, watu wanamuogopa kwamba atawatendea mabaya, hata kama ni kwa dua, Mkristu na dua baya? Mungu yupi huyo atakayeombwa hilo dua? Ni huyu Jehovah aliyetambulishwa ktk Biblia kuwa ni Mungu wa UPENDO? Mtajifunua tu ngozi zetu.
 
Anaogopwa kwa kuweka data za ukwel hadharani, je ilo ni jambo baya..!?
 
Jamani mtoto kaomba msamaha. Sema mpaka amtaje huyu dada aliosema anachochea kwenye mitandao. Na amuombe msamaha, Ndo asigeuzwe jiwe la kusugulia miguu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom