Huyu Naye Kakosa Mchumba so kaamua Kujitumbukiza Jeshini
Bora aingie jeshini kuliko kwenda kujiuza.
Kwani Jeshini hawanunui? Anaitwa Mwalimu Dorothy huyu naona Jeshini huko ni mgongano tu.... Kina Barlow yaliwakuta
Usifikiri kila mwanamke kazi yake ni kujiuza. Heshimu mama zako.
Nadhani sikuhizi umekuwa dakika mbili mbele unasahau maneno yako mambo ya kujiuza umeyaanzisha wewe mimi nilisema amekosa mchumba wewe ukasema kuliko kujiuza so wewe ndie wa kuheshimu mama zakoBora aingie jeshini kuliko kwenda kujiuza.
wanaume changamkieni tenda, kijana wa Tandale ameuweka sokoni 'mkunyenye' wake
Nadhani sikuhizi umekuwa dakika mbili mbele unasahau maneno yako mambo ya kujiuza umeyaanzisha wewe mimi nilisema amekosa mchumba wewe ukasema kuliko kujiuza so wewe ndie wa kuheshimu mama zako
Kwani Jeshini hawanunui? Anaitwa Mwalimu Dorothy huyu naona Jeshini huko ni mgongano tu.... Kina Barlow yaliwakuta
Afu huwa nashindwa kuelewa kwa ni hivi vitendo ni vingi sana huku pande zetu sie WATAKADINI mombasa, tanga, zenji, dar,e.t.c afu mara utaskia aunt HASHIM, aunt BILALI, sasa na huyu msanii ni mwenzetu pia sijui ataanza kujiita aunt NASREEM ABDUL,,,,!!!!!!???? shwari lakini anatuwakilisha vyema sie wachomaji....
Niaje Pafomensi zako nyingi ni lazima ufanye mchezo wa Makalio?
Ona hapa tena wanenguaji wamekushika Makalio yako na wewe umetulia tu.
Hivi unaufahamu uhusiano uliopo kati ya Makalio na Thamani ya Uanaume wako?
View attachment 70794
Huyu Naye Kakosa Mchumba so kaamua Kujitumbukiza Jeshini