Diamond iga na hii staili vile vile!

ah ah ah teh teh
JF kuna vituko sana, imebidi nicheke tu.
Kazi kwenu vijana wetu wa bongo mnaopenda kuiga kila kitu.
 
hii style ni kama ile ya Janet Jackson!!!probably baada ya kata kiuno hii ndio fashion mpya ya suruali kwa masharobaro
 
Hiyo mbona ipo tayari mtaani kwetu inaitwa Kanyela mumo.
 
Hii mbona alishaivaa Chid Benz loongi tu hata kabla ya JB..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…