Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Jamani hii sasa ni too much, vyovyote iwavyo mama ndio anayejuwa biological father wa mtoto, pamoja na uswahiliuswahili wa Diamond ni vyema private bizines zake tumuachie mwenyewe na yeye ni binadamu maneno kama haya yanaumiza bado mdogo yule jamani kuhimili misukosuko ya duniani.