Diamond hajui, anakwama hapa tu

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
237
323
Binafsi mimi sio shabiki wa muziki ila sijatokea kumuelewa huyu msanii Diamond Platnumz kabisa kuanzia staili ya uimbaji wake yaani naona kabisa jina ndio linambeba mda huu.

Kiukweli ukimuweka Diamond wa sasa na Mario basi jua kabisa bila jina, Diamond haingii kwa Mario hata mara moja, siku hizi amekuwa na unaigeria mwingi na uandishi wa kawaida sana.

Atleast kwa miaka miwili hii nyimbo aliyojitahidi kidogo kiutunzi basi ni Ile ya Sikomi lakini toka hapo amekuwa akitoa nyimbo mbovu sana, kwa sasa japo sio mpenzi wa muziki ila wasanii ninaona wanafanya vizuri kidogo pale WCB ni Rayvany pamoja na Lavalava ila kuanzia Diamond, Zuchu na Queen darlen naona bora watafute kazi nyingine ya kufanya kama sio kuvua samaki au wajikite kwenye utengenezaji wa barakoa.
 
Ngoja nikupe somo moja ambalo wewe huwezi kulijua Diamond anaimba mziki wa biashara sio hii bongo fleva ya kina alikiba na mrioo!! Hizi nyimbo zinaishia hapa hapa bongo.

Diamond anaimba nyimbo za kuchezeka hata asiejua kiswahili afurahie! Ndio maana unaona hata show zake anafanyia huko mbali na anajaza uwanja kwa watu ambao hawajui kbs kiswahili!! Kamaangeendelea kuomba hio nyimbo unazozitaka sidhani Kama angeweza kulipwa milioni Mia kwa show!! Hayo maendeleo yake yasingekuwepo na watu kama wewe ambao wamemchoka wangekua wengi sana.

Juzi Twitter kulikua na mjadala mkali mtu mmoja ambae sio mtanzania aliandika. “Diamond platinums is biggest in Africa than even African giant even Africa they don’t ready to talk about it yet.! Mjadala ulikua moto na wachangiaji wengi walionyesha kua mond ni noma japo wanigeria walikomaa kutetea chao!!
 
Nilisikia interview moja akisema "mimi haya mafanikio niliyonayo si kwa sababu naimba sana au nina sauti nzuri bali ni sababu ya uandishi wangu" mwisho wa kunukuu
 
None sense.. Kama sio Mpenzi wa mziki Itakuwa ni Ujinga Kuwadiscuss wanamziki na Kuwalinganisha kwa Maana Mziki sio fevorite or fani yako. So Tulia wanamziki na wapenzi wa mziki watoe yaliyo sahihi. Kama Unamchukia MONDI Kakunyima Deal.. Then Meza mate Ulale Mkuu..
 
Yani kweli unasema Diamond Platnumz hajui kuimba afadhali ya Rayvanny!!! Yani Rayvanny huyuhuyu anayeimba ndizi njegere? Au wewe unamsikiliza Diamond yupi?

Kweli wewe hufuatilii muziki, kwa sasa pale WCB wanaofanya vizuri ni Diamond na Mbosso na kiukweli huyo Rayvanny alikua vizuri sana kipindi cha nyuma ila sasa hivi anapitwa hata uandishi na Zuchu maana hata kumlinganisha pia na Mbosso itakuwa ni kumkosea heshima Mbosso.

Marioo mlinganishe na Mbosso kwa pale WCB ila sio Diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikupe somo moja ambalo wewe huwezi kulijua Diamond anaimba mziki wa biashara sio hii bongo fleva ya kina alikiba na mrioo!! Hizi nyimbo zinaishia hapa hapa bongo.

Diamond anaimba nyimbo za kuchezeka hata asiejua kiswahili afurahie! Ndio maana unaona hata show zake anafanyia huko mbali na anajaza uwanja kwa watu ambao hawajui kbs kiswahili!! Kamaangeendelea kuomba hio nyimbo unazozitaka sidhani Kama angeweza kulipwa milioni Mia kwa show!! Hayo maendeleo yake yasingekuwepo na watu kama wewe ambao wamemchoka wangekua wengi sana.

Juzi Twitter kulikua na mjadala mkali mtu mmoja ambae sio mtanzania aliandika. “Diamond platinums is biggest in Africa than even African giant even Africa they don’t ready to talk about it yet.! Mjadala ulikua moto na wachangiaji wengi walionyesha kua mond ni noma japo wanigeria walikomaa kutetea chao!!
Ndo ivyo mkuu, nipe handle ya huo mjadala.
 
[QUOTE="Varbo, post: 35447518, member: 97940"
Ngoja nikupe somo moja ambalo wewe huwezi kulijua Diamond anaimba mziki wa biashara sio hii bongo fleva ya kina alikiba na mrioo!! Hizi nyimbo zinaishia hapa hapa bongo.

Diamond anaimba nyimbo za kuchezeka hata asiejua kiswahili afurahie! Ndio maana unaona hata show zake anafanyia huko mbali na anajaza uwanja kwa watu ambao hawajui kbs kiswahili!! Kamaangeendelea kuomba hio nyimbo unazozitaka sidhani Kama angeweza kulipwa milioni Mia kwa show!! Hayo maendeleo yake yasingekuwepo na watu kama wewe ambao wamemchoka wangekua wengi sana.

Juzi Twitter kulikua na mjadala mkali mtu mmoja ambae sio mtanzania aliandika. “Diamond platinums is biggest in Africa than even African giant even Africa they don’t ready to talk about it yet.! Mjadala ulikua moto na wachangiaji wengi walionyesha kua mond ni noma japo wanigeria walikomaa kutetea chao!!
[/QUOTE]Huyo mtu aliyeanzisha huo Mjadala ni mlevi au teja, asiyeujua Mziki wa Africa

au WCB walitoa viposho kama kawaida yao jamaa aanzishe mjadala..

Ndugu ebu lete Uthibitisho wa chibunye kulipwa 100m Kwa show moja.. Sitaki porojo nataka uthibitisho
 
Back
Top Bottom