Diamond Given Police Escort in Mombasa

Diamond Given Police Escort in Mombasa

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755



dia1.jpg

Tanzanian Bongo star Diamond Platnumz was in Mombasa over the weekend for a Jamhuri concert.
He is easily East Africa's biggest music star, and crowds he draws says it all. On his way back to TZ, he was given police escort to the airport. Here's the video he shared on Facebook.
10821219_850773924944423_850772984944517_61868_1844_b.jpg



Diamond PlatnumzArtist · 515,415 Likes
· 13 December at 10:20 ·


Wakati narudi Nyumbani...
(when i was Going back home...)

Share · 3,597392114

>>>>> http://nairobiwire.com/2014/12/video-diamond-given-police-escort-in-mombasa.html

 
Hao polisi wa Kenya wameshindwa kulinda usalama wa watu wao wanauliwa kama kuku wanakuja kumlinda huyo malaya. Shenzi kabisa. Sijui lini tutatoka kwenye huu ujinga wa kupitiliza
 
Nabii hakubaliki kwao,bongo raia wanamchukulia poa sana dangote hata kufkia hatua ya kumlinganisha na kiba,but kenya mpaka polisi wanachoma mafuta na kutumia mda wao kumuescort platinumz.big up kwako chibu dangote,u deserve it.kaza mpaka siku ukienda tena uhuru akuescort
 
ni kwasababu AL-SHABAB wako kule ....no big deal ....plus angeachwa alipuliwe na shabab ingekuwa mgogoro baina ya nchi hizi mbili.......au labda alilipia mwenyewe...Kenya mtu hulipia escort ikiwa anahofia usalama/maisha...sote twajua hali ilivyo pwani na kaskazini mwa Kenya....ova!
 
Mimi sioni tatizo. Wale wanaosema kuwa polisi wapigane na al-shabaab wamepotea. Hao si polisi; hao ni County Inspectorate - Askari wa Kaunti. Kazi yao kukimbizana na wale wanaotema mate ovyo ovyo hadharani, au wachuuzi wanaouza barabarani na wanabiashara ambao hawataki kulipa kodi za Kaunti.

Hata wakiwa majeshi, tatizo liko wapi? Wacha watu washerehekee. huu ndio mtindo wa EA. Lile linaloniudhi ni kwanini huyu mwimbaji analetwa kuimba nyimbo za starehe badala ya watu kuimba nyimbo za Kitaifa?
 
Hao polisi wa Kenya wameshindwa kulinda usalama wa watu wao wanauliwa kama kuku wanakuja kumlinda huyo malaya. Shenzi kabisa. Sijui lini tutatoka kwenye huu ujinga wa kupitiliza

Wivu wa kiume mbaya....... hahahahaha

Tungeanza na wale wanaosimama majukwaani hapa Tanzania .....
 
Back
Top Bottom