Mtu mwenye akili timamu hawezi anzisha huu uzi. Kwa kipindi cha siku 25 mkuu yupo busy sana kuweka miongozo na kuunda serikali. Hayo mambo ya social interaction atayafanya baada ya kukamilisha jukumu zito.
Najua vijana wengi walikuwa watoto wakati wa JK anaingia madarakani. Subiri dada usiwe na papara kwani JPM atapambana na wezi wa kazi za wasanii.