Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine

Tumuombee Wema aweze kumuokoa kijana wetu Kwa huyo bibi wa kiganda maana dogo kawa zezeta kabisa sijui anapewa na 0713....
 
Hahaha umenikumbusha rafka angu mmija mwembaaambaa uyo af anapenda hao mabaunsa tukawa tunamuuliza mama shughulini utaweza kumbeba
teh mi atleast wazuri naona.ni.wale wanafanya tu mazoezi anakua na.mwili wa.mazoezi ila wanyanyua vyuma unakuta juu mkubwa chini.mdogo yupo.kama mnazi hapana asee
 
hii tasnia ya filamu ni uchafu mtupu. Ushetani uliopitiliza yaani huwezi kukaa pamoja na watoto ukaangalia Bongo movie. Ni usharati na mapepo ya zinaa.

Nawakumbuka wakina Mzee jongo na wakina pwagu na pwaguzi, walikuwa wana staha na Adabu kwenye Tasnia wakati ule.

Lakini sasa hivi ni uchafu mtupu, haifai kuwaachia watoto tv waangalie ni ushetani mtupu.

Tunaiga upuuzi wawazungu tunasahau kwamba utamaduni wa mwafrica ni Adabu?
Bongo muvi ili CD ikamilike lazima waende kitandani
 


Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.

Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?

tunaanza kujua kati ya Diamond na Dimpoz nani anapumuliwa sasa!napita tu
 
Back
Top Bottom