Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers

Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,632
Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka.

Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo.

Kaja na drama zake na kizuchu wake watu wamemlia buyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa kubwa zaidi ndani ya siku 5 amepoteza followers zaidi ya laki mbili na wanazidi kupukutika tu hali ambayo imezidi kumtisha na hatimaye ameanza rasmi kununua followers feki wamjazie jazie idadi kukwepa aibu.

Sasa cha kufanya ni hivi, kama bado hujam unfollow hakikisha una unfollow kisha nenda karipoti akaunti zake haswa IG.
 
Nov 7 202518,725,190
-6,174
1,872
+4
8,610
-3
0.46%
+0.01
Nov 6 202518,731,364
-34,738
1,8688,613
+1
0.45%
+0.03
Nov 5 202518,766,102
-59,743
1,868
+1
8,612
-1
0.42%
Nov 4 202518,825,845
-19,679
1,867
+1
8,613
+1
0.42%
+0.01
Nov 3 202518,845,524
-7,746
1,866
+1
8,612
+3
0.41%
Nov 2 202518,853,270
-1,062
1,865
+3
8,6090.41%
-0.02
Nov 1 202518,854,332
-436
1,862
+5
8,609
+2
0.43%
Oct 31 202518,854,768
-36
1,8578,607
-3
0.43%
-0.01
Oct 30 202518,854,804
-417
1,8578,610
-14
0.44%
-0.02
Oct 29 202518,855,221
-1,025
1,8578,6240.46%
+0.01
Oct 28 202518,856,246
-911
1,857
 
Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka.

Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo.

Kaja na drama zake na kizuchu wake watu wamemlia buyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa kubwa zaidi ndani ya siku 5 amepoteza followers zaidi ya laki mbili na wanazidi kupukutika tu hali ambayo imezidi kumtisha na hatimaye ameanza rasmi kununua followers feki wamjazie jazie idadi kukwepa aibu.

Sasa cha kufanya ni hivi, kama bado hujam unfollow hakikisha una unfollow kisha nenda karipoti akaunti zake haswa IG.
Una unfollow halafu unaendelea kumfatilia😮😮

Tafsiri yake bado unamkubali mkuu
 
Kijana kweli una kazi ya kukuweka busy huo muda wa kufanya hivi unapata wapi
Hakuna mtu anaefanya kazi masaa 24.kum-unfollow mtu sio suala la kuchukua muda mrefu kiasi kuzuia kufanya mambo mengine.

Mimi wasanii wakibongo niliowa-follow kwa haraka haraka namkumbuka roma na sugu tu, lakini kama ningekua nimewa-follow hawa machawa na wote walioshiriki kumnadi huyu mama ningeshawa-unfollow muda mrefu tu
 
Kwanza ana bahati tungekua wakenya hadi account zingefungwa na kudukuliwa 🤣🤣 anyway bado tunajifunza kutoka kwa majirani !!
Tanzania - 2025 quater final
Uganda - 2026 Semi final
Kenya - 2027 Final
 
Hakuna mtu anaefanya kazi masaa 24.kum-unfollow mtu sio suala la kuchukua muda mrefu kiasi kuzuia kufanya mambo mengine.

Mimi wasanii wakibongo niliowa-follow kwa haraka haraka namkumbuka roma na sugu tu, lakini kama ningekua nimewa-follow hawa machawa na wote walioshiriki kumnadi huyu mama ningeshawa-unfollow muda mrefu tu
Hiki mnachokifanya ni kuingilia uhuru wa mtu na ni kinyume cha demokrasia utofauti wenu na serikali ya mama Samia ni upi Sasa?
 
Utajua wewe,Mimi ndio naandamana hivyo.
Yoyote ambaye yupo upande wa oppressor lazima a catch strays.

Hope ujumbe unaupata shog* wa kijani wew
Nani Kwanza kamwambia Mimi ni CCM? au sehemu gani inaonesha Mimi ni CCM?
 
Back
Top Bottom