Membe ni fisadi pesa za gadafi anafanyia starehe
Lowassa pesa za Richmond zinaliwa na vitoto vya vyuoni
nitajie kiongozi wa ccm aliyewahi kushinda bila wakata viuno kutumika .TeamLowassa haitaji mtu kuja kukata viuno kumnadi mgombea wetu.
Naichukia sana hii team ya membe,na unafki wake natumai hataingia ikulu kamwe
kuwashukulu au kuwashukuru.?Kama amesaidiwa ana haki ya kuwashukulu waliomsaidia. Hongera sana diamond kwa kuwa na moyo wa kushukulu waliokusaidia. Undugu na urafiki ni kufaana na kusaidiana wakati wa shida.
Na bado mume akiachia ngazi mwezi wa 11 atapita kwenye Hali Ngumu zaidi ambayo haina mwisho
Bernard Membe alimpa shavu Diamond la kwenda kupiga show kijijini kwake RONDO,Uwanja wa ILULU na MTWARA KWENDA kufungua hotel yake ya NAF HOTEL kwa kumlipa zaidi ya tsh 50 millioni kwa show tatu mwisho wa mwaka 2013 baada ya kutoonekana jimbo zaidi ya mwaka mmoja.Laiti pesa hiyo angeitumia jimboni ingechimba visima virefu vinne (4) au madarasa matatu (3).Diamond anakila sababu ya kumshukuru.