Diamond atumbuiza Big Brother

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,141
Msanii wa Kitanzania DIAMOND leo hii ametoa burudani ya wimbo wake Mawazo katika Big Brother Africa. Leo ni siku ya Eviction show ambapo Mmoja kati ya washiriki Ataondolewa Mashindanoni.
 
dayamondi nooooouuumeeeer.

Sikujua kama anatema mayai yaleee

me love this bwoyy.

Nyambaf zang mwenyewe lol
 
nilihofia asitegue ulimi tu.....

Ila wimbo wa moyo wangu hakuuimba vyema(mtazamo wangu)
kwa kuimba ni kweli sauti haikuwa safi kivile ila kwenye kucheza kijana wa watu kacheza saafi sana,hasa mwimbo wa kwanza kashangiliwa sana.big up diamond!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom