Diamond ashinda tuzo nyingine

Diamond ashinda tuzo nyingine

sindbari

Senior Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
156
Reaction score
43
Msanii diamond ameibuka tena mshindi wa tuzo zilizofanyika nchini Burundi,kwa kushinda nyimbo bora Afrika mashariki kupitia nyimbo yake bora kabisa(my number one)


tuzo%20ya%20diamond_full.jpg


CV ya Diamond katika muziki inazidi kupanda na mwaka huu unaweza kutajwa kuwa mwaka wa tuzo kwa mwimbaji huyo ambaye amevuka mipaka na kuzinyakua au hata kutajwa tu kuziwania.


Wimbo wa My Number One wa Diamond umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki katika tuzo za Burundi zinazojukana kama TTM Awards.


"Asante sana kwa Media wadau na Mashabiki zangu pendwa kwa kuifanya Number One kuwa Nyimbo Bora ya East Africa ya Mwaka kwenye tunzo za #TTTMAwards nchini Burundi....." Ameandika Diamond kwenye Instagram akiambatanisha na picha ya mtu aliyempokelea tuzo hiyo.

Chanzo: TimesFM
 
H0ngera zake. Hata tukipondea haitabadili chochote.
 
Msanii diamond ameibuka tena mshindi wa tuzo zilizofanyika nchini Burundi,kwa kushinda nyimbo bora Afrika mashariki kupitia nyimbo yake bora kabisa(my number one)

Chanzo: TimesFM


So......What??????
 
Back
Top Bottom