Mapinduzi kwa kupitia maandamano yakifeli kutokana na umakini wa Vyombo, kifuatacho ni kuchanganyikiwa na kulaumiana. Ngoma ya Watoto haijawahi kukesha, na ukiona maji yametulia ujue yana kina kirefu.
Ana Mali nyingi ashachuma tayari ,uzuri vitega uchumi vingine huvijui....by the way kwani diamond alikutuma ukachome vituo vya polisi na vyoo vya stend au steshen za mwendokasi?
Kwa diamond sidhani Kama ataathirika financially ni msanii ambaye ameshafika kwenye level ya kuwa hategemei Tena mziki aendeshe maisha yake labda kwa wasanii wengine
Mkuu kwa diamond kwa mtazamo wangu sidhani hiyo movement itamuathiri financially kwa sababu diamond amefikia level hategemei tena mziki aendeshe maisha yake amefanya investment nyingi za kibiashara zinasomlipa sana sana hii movement itawaathiri wasanii wengine
Kwa diamond sidhani Kama ataathirika financially ni msanii ambaye ameshafika kwenye level ya kuwa hategemei Tena mziki aendeshe maisha yake labda kwa wasanii wengine