Diamond anapokuwa demon

Diamond anapokuwa demon

Hivi kwanini mna penda kuwatoa wenzenu akili na kujiweka ninyi ndio smart more than any one ?

Soma comment yako na nilicho kuuliza na ulicho nijibu then angalia kosa lipo wspi af niambie sawa boss
Mapinduzi kwa kupitia maandamano yakifeli kutokana na umakini wa Vyombo, kifuatacho ni kuchanganyikiwa na kulaumiana. Ngoma ya Watoto haijawahi kukesha, na ukiona maji yametulia ujue yana kina kirefu.
 
Mapinduzi kwa kupitia maandamano yakifeli kutokana na umakini wa Vyombo, kifuatacho ni kuchanganyikiwa na kulaumiana. Ngoma ya Watoto haijawahi kukesha, na ukiona maji yametulia ujue yana lina kirefu.
Acheni kujidanganya. Kizazi hiki siiyo hovyo kama nyinyi na kukidhani. Wanajua kuwa haki hupokwa siyo kuombwa. Machawa wengi waliwasuta kuwa wasingeweza kuandamana wakaishia kuwatia aibu na kuwaacha bila nguo. Endeleeni na uzwazwa huu muone.
 
Je wamepata nini baada ya kuandamana? Wameuliwa waliokuwamo na wasiokuwamo, na Samia kaapishwa.

Gen Z ya Tanzania haina akili. Sasa wanachoma barabara, miundombinu ya mwendokasi, TRA, Polisi, Mahakama, hiyo ni akili au uzwazwa.

Waende wakajifunze upya Kenya
 
Je wamepata nini baada ya kuandamana? Wameuliwa waliokuwamo na wasioluwamo, na Samia kaapishwa.

Wakiendelea na huu ujinga, watakutana na kitu ambacho dunia nzima itasimama.
 
Je wamepata nini baada ya kuandamana? Wameuliwa waliokuwamo na wasioluwamo, na Samia kaapishwa.

Gen Z ya Tanzania haina akili. Sasa wanachoma barabara, miundombinu ya mwendokasi, TRA, Polisi, Mahakama, hiyo ni akili au uzwazwa.

Waende wakajifunze upya Kenya
Wameonyesha uchafu na uhovyo na roho mbaya za watawala wetu maviii matupu. Kesho, watalianzisha tena na hawatafanya makosa yaliyotokea. Angalia kilichofanyika Madagascar, Nepal na Sri Lanka.
 
Hapo ndiyo mnakosea Tanzania usilinganishe na hizo nchi. IGP aliposema kila mtu awe ndani Saa 12:00 jioni, mkajua anaigiza, CDF alipowaasa Vijana acheni vitendo vya Kihalifu mkaona huyu Mjomba wetu. Wamekutana na moto mnaomba msaada jumuia za kimataifa. Ndiyo waliwatuma muwe Wahalifu.
 
Ni jambo la kawaida. Adui wa adui yangu ni rafiki yangu na rafiki wa adui yangu ni adui yangu.
Kuna mtu wa kukuamulia wa kumpenda?

Kuna mtu wa kukuamulia wa kumchukia?

Kama una uhuru na maamuzi yako binafsi ya kuamua wa kumpenda au kumchukia, Kwa nini unataka kuingilia uhuru na maamuzi ya Diamond kumpenda Samia?
 
Hapo ndiyo mnakosea Tanzania usilinganishe na hizo nchi. IGP aliposema kila mtu awe ndani Saa 12:00 jioni, mkajua anaigiza, CDF alipowaasa Vijana acheni vitendo vya Kihalifu mkaona huyu Mjomba wetu. Wamekutana na moto mnaomba msaada jumuia za kimataifa. Ndiyo waliwatuma muwe Wahalifu.
Sikujua kuwa najibizana na chawa. Kumradhi chawa. Acha niishie hapa.
 
Huu ujinga mnaolishana mkiambiwa ukweli endeleeni nao, kuna mmoja nilimuona anawavimbia Askari wana silaha za moto ye kategesha kifua, kilichomkuta anajua yeye na Mungu wake.
 
Heri ujinga kuliko dhuluma na uzwazwa na uchawa
 
Hiki unachofanya mtoa mada hauna tofauti na anachofanya Mama Samia huwezi kuhubiri demokrasia Kama hauheshimu choice ya mtu huu upumbavu mnaofanya kwa wasanii ni ujinga na hauna afya Mimi nilitegemea mvibane vyombo vya habari vya Tanzania hawa ndio wenye influence kubwa mno Kama waliweza kuungana wakapiga pin kurusha habari za Paulo Makonda kipindi kile walishindwa vipi kurusha report za matukio ya mauaji
 
Back
Top Bottom