Kuna ustaadh mmoja alikuwa ananipigia Dua msikiti wa ngamia kule mburahati nikawa napata pesa sana kiukweli hadi nikajenga nyumba mbili ndani ya mwaka mmoja Ila mwanangu na mke wangu wakuwa wamedhoofika sana kiafya kuna kugundua kumbe mali na pesa nazozipata zinaumiza familia yangu nikaamrudia mungu.
Badae nikaambiwa yule ndio mganga mkuu wa diamond.
nilijuta sana aisee hizi mali daaah.