Myange ni mchaga au mmerucha msingi kuanzia jana Diamond ni Mpare kutoka ukoo wa Nyange na kwasasa matambiko atafanyia Miamba-Miamba huko Same Upareni.
Nyange ni MpareMyange ni mchaga au mmeru
Funguka zaidi,anakelele zipi hasa yule Mzee!?Kuzaa si kupata,kulea Ni wajibu....yule mzee anakelele sana hata mie ningemkana tu ili yaishe.
Jamani Wanawake kumbe ni Viumbe hatari sana! Wanaume ukipata mashaka na Mtoto wako,chukua nenda kimyakimya pima DNA alafu kaa kimya na Majibu yako kichwani!!Aibu imeondoka kwa Kasi sana duniani. Mama anadhihirisha kuwa mtoto wake ni mwana zinaa!
Mond ukigoma anachukua kutoka kwa Mama yake!!Kwa hiyo tumekubaliana diamond sio wa kigoma tena ni mpare