Diamond ampa pole Wema, amualika kwenye 40 ya mtoto wake

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Diamond amesema anamsikitikia sana wema na amemualika kwenye sherehe ya mwanae kufikisha siku 40

 
Kabda alifiwa, hivyo waswahili wana hiyo siku ya 40 tangu azikwe, wanaiheshimu sanq
 
Mwambieni huyo kijana atumie akili;
kwetu kesi ni sawa na msiba;
ana furaha gani wakati wenzie wana kesi?
au Mungu anamtega?
 
Pia anajua kucheza na maneno, umesikia anaulizwa kama anafahamu beseni la Wema, amejibu "na yeye pia ni mmoja wa watu walioalikwa".
Huyu dogo wa kwa Mtogole (jirani yako) kazaliwa kimakosa sana Bongo,anaakili za kusaka pesa na kucheza na akili za watu.
 
Back
Top Bottom