Jinga sana hilo jamaa, silipendi, kazi kutapeli watu Qnet tu...Jamaa linapiga hela za serikali kilainiiiiii halafu likiulizwa unaonaje tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana linajibu kirahisi rahisi tu 'VIJANA HAWA-THINK OUT OF THE BOX'
Think of of the box maviiiiiiiiiii.
dodge
Ni shida Mkuu!Wao wanaskiliza idea za s. Nyerere
Za kuwapelekea misambwanda
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili gazeti linamuandama sana Mh.Kigwa... itabidii ajitokeze ajibu hizi tuhuma maana akibaki kimya itaonekana ni kweli.
Mkuu nimekuelewa sana, haya mambo yanasikitisha sana na kukatisha tamaa.WIZARA YA Utalii na Taasisi Zake hawana nia ya Dhati ya kutangaza Vivutio vyetu!
Zaidi ya kung'ang'ania idea ambazo zina hazina Mashiko...
Nimeshawahi kwenda Wizarani pale mpaka Bodi ya Utalii...
Nikiwa na idea nzuri Sana ya namna ya Kutangaza Vivutio vyetu nje ya nchi... Nikiwa na Wadhamini wangu mkononi, nikihitaji tu Barua ya Utamburisho....
Hizo njoo Kesho, Marketing officer kasafiri, Njoo week ijayo Sijui nani hayupo.... Just kupewa barua tu ya kutambua Non profit project yangu... Mpaka nikachoka....!
Now ni miaka 4 imepita.....
Jiulize sasa ni mzungu gani atapanda mlima kilimanjaro kwa kumuona Stive Nyerere akipanda.Wakajifunze Kenya wanavyo deal na mambo ya utalii!
Sasa unawaita bongo movie wasanii wanao vaa pichu kubw sjui bngo fleva... Ujing Ujing tu
Hpo kna dem lnye msambwanda mkbw kna mtu alikuwa anamvizia ale naye pipi tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuulize Kigwa...
Waziri mzima anachowaza yeye ni kulala hotel room yake ifatane na ya Ebitoke ndiyo anaskia raha.Idea yao wakina kingwa ni kuwakusanya wasanii
Na kwenda kuwalaza kwenye mahoteli
Hko na kufanya wanayoyajua wao
Upuz upuz tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kawafungulia kesi sijui imefikia wapiHili gazeti linamuandama sana Mh.Kigwa... itabidii ajitokeze ajibu hizi tuhuma maana akibaki kimya itaonekana ni kweli.