Diamond amfunika Kiba kwenye video views you tube !

Dupe

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
1,668
811
Ikiwa ni miez minne tangu ALLY KIBA atoe video yake ya Mwana Dar es salaam huku mpaka naandika uzi huu ikiwa na views 144,776 (Upload Months ago) mwenzake DIAMOND siku tatu zilizopita aliachia video ya "Nitampata wapi?" ambayo mpaka naandika thread hii ilikuwa na Views 388,28 (Upload 3 days a go), Huku mdogomdogo ambayo iliambata na wimbo wa Mwana kutoka ikiwa na views 1,832,729 (upload 5 months a go).……!!!!
…………………………………………………………

Nyimbo ambayo inaongoza kwa ALLY KIBA kwa kuwa na views wengi ni "Usiniseme" yenye views 1,642,801 (upload 5 years ago),

Nyimbo ya DIAMOND inayoongoza kwa views wengi ni "NUMBER ONE REMIX" yenye views 5,052,345 (upload 11 months ago) huku ikifuatiwa na "Number one original" yenye views 3,345,762 (upload 14 months ago)

Kwa takwimu hizi chache inaonyesha watu wengi wanaposikia chibu kaachia ngona huwa wanashaukhu ya kutaka kuiyona kwa mapema tofaut na Ally Kiba.
 

Attachments

  • 1416810009274.jpg
    1416810009274.jpg
    27.6 KB · Views: 320
  • 1416810048530.jpg
    1416810048530.jpg
    34 KB · Views: 308
  • 1416810077766.jpg
    1416810077766.jpg
    33.1 KB · Views: 276
  • 1416810614766.jpg
    1416810614766.jpg
    28.6 KB · Views: 278
  • 1416810638529.jpg
    1416810638529.jpg
    34.4 KB · Views: 271
  • 1416810655467.jpg
    1416810655467.jpg
    34.3 KB · Views: 284
Kiufupi ni kwamba Ali Kiba bado hajatoa video ya Mwana ila ni audio tu ambayo watu walichukua picha picha zake za zamani na kuitengeza kisha kuiweka you yube... Alisema ataitoa Video hiyo muda si mrefu..................

Ngoja kwanza video iletwe ndio ufanye hizo analysis zako
 
Tatizo la kiba huwa anatoa video za kigodoro wakati mwenzie yuko level zingine kabisa, afanye muziki kibiashara na si kitaarabu kuleta mambo ya uswazi ya kusemana na kuzomeana.....mwisho wa siku anaonekana kuwa ni mwanamuziki wa fiesta!
 
Kuna video ya Sugua Gaga ya Shaa ina views zaidi ya milioni tisa, inaonekana watu wanapenda sana mauno.
 
Kuna video ya Sugua Gaga ya Shaa ina views zaidi ya milioni tisa, inaonekana watu wanapenda sana mauno.

Hata single nyingine ya Shaa fet Redsan toka godfather pia nadhani, ina views millions-sikumbuki exact figure. Kinachonisumbua ni kwamba hizo no za views hazireflect kbs jina la huyu bibie kimziki nchini-why?
 
Hata single nyingine ya Shaa fet Redsan toka godfather pia nadhani, ina views millions-sikumbuki exact figure. Kinachonisumbua ni kwamba hizo no za views hazireflect kbs jina la huyu bibie kimziki nchini-why?
chezea toto la kinyakyusa! yeye na mwenzie AY
wapo kiinternational zaidi
 
Back
Top Bottom