Diamond amchana baba’ke

"Baba yangu atabakia kuwa baba yangu, ila siwezi kumpa kipaumbele sawa na mama yangu"

Uvumilivu muhimu, Mzee ajioneshe kuwa hajafata pesa kwa kutoziomba pesa ila aoneshe amemtaka mwanae naseeb aliomtelekeza wakati mdogo na sio Diamond Platnumz ndio mtoto atafahamu baba amerudi kwa mapenzi ya dhati na sio kwa kijicho cha maslahi..
 
Wanaume wengi watakuwa wamejifunza kitu hapo.watoto wanaopata SHIDA za kimaisha kwenye familia zao kwenye ukuwaji wanapambana sana kuukimbia umasikini kwa hali yoyote imlaadi ajikwamue kimaisha unamtelekeza mtoto wako unajua kesho yako au kesho take mtoto.endeleeni kula bats fainali uzeeni mtaisoma namba za diamond!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom