Diamond akitafutacho ni kipi ?

Tuache ku judge, ni kijana
Mdogo sana istoshe
Kwa sasa yuko ki-international zaidi tumwache a-explor!
 
Nimefurahi sana Eti sura imeshuka kama mpiga debe hahahaha.


Swissme:
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana Eti sura imeshuka kama mpiga debe hahahaha.


Swissme:

kilichokufurahisha ni nini ulikua unataka attention yangu sasa umeipata SEMA UNATAKA KIPI KINGINE??
mbona nikioment kwa wanawake hauji speed ???
 
Nimefurahi sana Eti sura imeshuka kama mpiga debe hahahaha.


Swissme:

na leo useme unachotaka kwangu ni nini hii mambo tumalize
maana nitakuaibisha wewe vibaya sana maana nakufahamu vyema tu

usione watu wametulia sijafunzwa ugomvi ndo maana nilikua nakuangalia tu
sasa tumekutana ana kwa ana sema unataka nini
wanaume????
 
Mimi mama yangu sijasema nakuchukia bali nasema sikupendi.ni sawa na kusema naipenda ccm siipendi bali naichukia.kwa hiyo naomba msamaha ok wote ni watanzania sema wewe uko bongo kwa wala vumbi.naomba unisamee ok.
 
Mimi mama yangu sijasema nakuchukia bali nasema sikupendi.ni sawa na kusema naipenda ccm siipendi bali naichukia.kwa hiyo naomba msamaha ok wote ni watanzania sema wewe uko bongo kwa wala vumbi.naomba unisamee ok.

mssengee wewe komaaaa na iwe mwisho nakula vumbi na mama ako uliomuacha huku

na HIYO PM ULIZOTUMA ULIMAANISHA NINI NA ULICHOWEKA HAPA NI NINI????
NIWEKE SCREENSHOT??????

KOMA ---- weeee iwe mwisho leo

uliona nimenyamaza kutwa kuniwinda kwenye nyuzi kila napokoment
nimekukosea nini wewe kuanza kunishupalia mimi

UNAKUMBUKA ULINIFATA KWENYE UZI MCHANA UKAANDIKA NINI WEWE????????

NARUDIA TENA komaaaaaaaaaaaa
 
nalala sasa nilikua nasubiri uamke

eti jipo uswiss

uswiss my foot BEBA BOX LAKO STRESS ZAKO MPIGIE SIM MAMA YAKO UMWAMBIE

NA MIMI PIA NINA ZANGU USINICHANGANYIE NA ZAKO

nolaka totiremuresi

komaaaaa mi sio saiz yako hata kama unaishi ulaya haimaanishi nitembee na KIBABU KAMA WEW
CC@Money stunna
 
Nimekuomba msamaha na tena nakuomba msamahaa.


SWISSME:
 
Pia utakuta Diamond wala sio wa tabia hiyo...pengine ye na Wema wanafanya hivyo kibiashara zaidi ili kuuza habari na yupo anaowaongoza cha kufanya ni nini ili watoke......watu huku mitaani utasikia wakiongeeaa utafikiri kweli wafanyalo.... Siri wanaijua wenyewe...Ndio maana huwa wanasema ni vigumu sana kujua maisha yao kiundani....




Love life la mtu sijui linakuhusu nini!! Hormones zake huyo jamaa, akili yake, mwili wake, tamaa zake, we unakuja unasema mbona madame yuko poa tu, usiingilie private life la jamaa, hata akitoka na bibi kizee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…