Diamond akasirishwa na "usagaji" wa wema.

Diamond akasirishwa na "usagaji" wa wema.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,919
FRONTAMANI.jpg
Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye' na Aunty Ezekiel wakidendeka hadhalani.​


Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli, yameibuka upya juzikati baada ya warembo hao kuonesha mahaba niue au nikongorowe kisha ‘kudendeka' hadharani na kusababisha mwandani wa Wema, Nasibu Abdul ‘Diamond' kukasirika na kuondoka eneo la tukio akiambatana na timu yake ya Wasafi Classic Baby (WCB). Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri usiku wa kuamkia Oktoba 28, mwaka huu ndani ya Mgahawa wa Rodizio, Masaki jijini Dar ambapo Aunty alikuwa akisherehekea siku ya yake ya kuzaliwa ‘bethidei'.
Shughuli hiyo ilitawaliwa na matukio baada ya Wema kuwasili ukumbini hapo akitokea nchini China kupitia Dubai alikokwenda hivi karibuni kwa biashara binafsi ikidaiwa kwamba amerejea na mkwanja wa kutosha.
​
Wema alitinga ukumbini hapo saa 7:15 usiku na kuwakuta wadau wakiendelea na sherehe hiyo ambapo mara tu baada ya kufika alikumbatiana kimahaba na Aunty zoezi lililochukua dakika kadhaa wakiwa wamenasiana huku wakifunika nyuso zao kwa zile nywele nyingi za Wema hivyo kilichoendelea humo ndani hakikujulikana. Walipojifunua kwenye nywele ndipo ikabaini kwamba kumbe walikuwa ‘wakidendeka' bila kujali wingi wa kamera.






WASHUTUMIWA
"Mungu wangu, leo mambo hadharani. Mbona ni sheedah? Yaani wanadendeka hadharani! Kwa vyovyote vile Wema na Aunty husagana," alisikika mmoja wa waalikwa.

[

Staa wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki ya bethidei yake ndani ya Ukumbi uliyopo kwenye Mgahawa wa Rodizio Masaki.
Mmoja wa waigizaji chipukizi alidakia: "Yaani utadhani wapenzi kabisa maana kila mmoja anaonesha hisia za kumisiana. Hawaogopi kuambiwa wanasagana? Haya bwana, yetu macho maana leo tutaona mengi. Vitendo kama hivi ni vya kulaaniwa vikali na kuwakumbusha kwamba wao ni kioo cha jamii.

SOURCE: WEMA SEPETU, AUNTY NDANI YA SKENDO CHAFU YA USAGAJI! DIAMOND AKASIRIKA! ~ RAHA TUPU

​

 
Kwani si sawa na kufanya mazoezi tu game halisi na Nasibu?
 
Back
Top Bottom