Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,060
- 1,041
niwazi kuwa art is subjective...yaani kila mmoja huja na interpretation yake jinsi alivyoelewa kazi ya sana....hilo liko wazi...tatizo la diamond ni undumilakuwili( neutrality) ila ney alichagua wapi pa kusimamia....diamond haijulikani either anapinga vyeti fake au anavisapoti..kwa muktaza huu lazima alaumiwe tuu hakuna namnaDiamond anaweza kuwa kachemka kama unavyodai.....lakini unamuona kachemka kwa kuwa amekwenda kinyume na matarajio ya nafsi yako.......
Msanii ney wa mitego hivi karibunu ametoa maoni yake kupitia wimbo wake unaoitwa wapo......ni moja kati ya nyimbo zinazopendwa sana ingawa unaonekana kuwa na mashairi yenye kejeli kama sio matusi kwa viongozi......Ney ameutoa wimbo huo hali ya kuwa anajua kuwa kuna chuki kubwa au mitazamo mibaya dhidi ya serikali hasa ukiangalia mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ndio maana amepata support kubwa nA hatakukamatwa kwake kulizua huzuni sana kwa wanajamii.....kwa kuwa ni kama vile msanii huyo ameyachukua maneno kutoka kwenye vinywa vyao.......lakini mwisho wa siku yanasimama kuwa ni maoni yake na ametumia uhuru wake wa kutoa maoni.......
Na msanii Diamond amefanya kama alichokifanya Ney wa Mitego....lakini yeye ametoa maoni yake kupitia wimbo wake lakini maoni hayo yamekwenda kinyume na utashi wa wengi hasa kwa wakati kama huu.....lakini kwa mtu aliyekomaa kifikra na kidemokrasia hawezi akatoka pozi kiasi cha kutukana kwani anajua kuaa tunaishi kwenye jamii yenye watu mchanganyiko na wenye mitazamo tofauti.....
Kama jamii hatuwezi kuwa na mitazamo inayofanana hata kwenye jambo linalofanana.....ndio maana pamoja na madudu ya CCM mpaka leo hii bado kuna watu ni wanachama wa kutupwa wa CCM na wako tayari kufa kwa ajili ya CCM....na wao wanapaswa kuheshimiwa kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo kama ambavyo wewe unavyoona una haki ya kuamua kuwa mwanachama wa chama chochote bila ya kubugudhiwa......
Bado nasisitiza kuwa msawazo kwenye jamii inatokana na wanajamii kuvumiliana na kukubaliana katika mambo mbalimbali ya kijamii......
Mungu ibariki Tanzania....
Wewe umesema alichosema Mond ni mtazamo wake kam tu alivyotoa maon yake ney,Rudia tena kusoma nilichokiandika....inawezekana hujaelewa nilichokiandika.....
niwazi kuwa art is subjective...yaani kila mmoja huja na interpretation yake jinsi alivyoelewa kazi ya sana....hilo liko wazi...tatizo la diamond ni undumilakuwili( neutrality) ila ney alichagua wapi pa kusimamia....diamond haijulikani either anapinga vyeti fake au anavisapoti..kwa muktaza huu lazima alaumiwe tuu hakuna namna
Wala sio kuwa haueleweki,unaeleweka lakin ni ujinga kutuambia tukae kimya tunapoona uozo kwenye jamii...kwa mfani angetekwa yeye watu wakae kimya ingekuwaje?Ahaha labda tako kubwa,huo wimbo hauitaji cheti cha chekechea kuuelewa.
Wala sio kuwa haueleweki,unaeleweka lakin ni ujinga kutuambia tukae kimya tunapoona uozo kwenye jamii...kwa mfani angetekwa yeye watu wakae kimya ingekuwaje?
that is what we call subjectivity contrary to objectivity hence you have fulfilled literary principle....but what the majority say remain to be the matter of discussionInategemea unautizama huo wimbo katika mlengo upi....!!!
Mimi huo wimbo japokuwa kuna mashairi yamenikwaza lakini nachukulia kama ni mtazamo au maoni ya diamond ameyatoa kupitia muziki wake.....
That's all.....
Umeuelewa wimbo vizuri?Pressure ya wananchi kwa ujmla wao ndio iliyopelekea Roma apatikane ,yeye anatuambia tukae kimya si hii inamaana alitaka mwenzie apotee!?
Message ya wimbo ni watu kuuona mambo kama kutekwa ,vyeti feki,studio kuvamiwa na wakae kimya.Inategemea unautizama huo wimbo katika mlengo upi....!!!
Mimi huo wimbo japokuwa kuna mashairi yamenikwaza lakini nachukulia kama ni mtazamo au maoni ya diamond ameyatoa kupitia muziki wake.....
That's all.....
Wewe umesema alichosema Mond ni mtazamo wake kam tu alivyotoa maon yake ney,
Ney ameihoj jamii kama mambo aliyoyataja yapo kwenye jamii ,jamii imeitkia yapo!!..
mond anadai anaitetea haki ya kusema tukae kimya is that logic to you?
Message ya wimbo ni watu kuuona mambo kama kutekwa ,vyeti feki,studio kuvamiwa na wakae kimya.
Sasa mim najiuliza WCB IKIVAMIWA SIKU MOJA TUKAE KIMYA?
AKITEKWA MOND SIKU MOJA TUKAE KIMYA? ...
mond kwa hii nyimbo hakufkiria kiundani,aliona kama wanaopta matatizo wanaishi nchi nyingineya kujitakia na yeye yupo nchi nyingine..
Sasa ww si useme hivyo vzr,nyie watz vipi?,mim ndie Nilietoa post;mawazo yangu juu ya wimbo nimeyatoa hapo nimeusema msimamo wangu juu ya Wimbo unaniuliza tena umeuelewa wimbo vzr?Umeuelewa wimbo vizuri?
Go off,me nataka facts and points stak mtu kutetea "ukimya" watu wapotee anakuja msanii anawahimizza wananchi wakae kimyaa kwa maneno matamu tunaonaSawa ndugu
Uwe na wakati mwema.....nadhani upo kwenye moody ya kubishana na mimi nipo kwa ajili ya kueleweshana.....
Kila mtu amepewa kipaji chake na kila mtu anatumia kwa uwezo wake.....na tunategemeana, hao uliowataja wewe hivi unajua muziki ndo huwaliwaza na kutuluza msongo wa mawazo...kila mtu kwa nafasi yake hufanya dunia iende, MUNGU mwenyewe kwa mujibu wa biblia anapenda sana Muziki....we wachukie ila jua kupitia mziki na akili zao ndogo unazozusema wewe wanatengeneza pesa tena kukuzidi weweWenye akili zao wanafanya mambo yao na dunia inabadilika.
Kf. Watu wanajifungia wakitoka wana mbegu zinazovumilia ukame!
Wakijifungia wakitoka wana combined harvester,
Wakijifungia wakitoka wana dawa ya ebola, malaria, kichocho mpaka tezi dume.
Hawa wanaochapiwa halafu wanapanda jukwaani kuwasifu wagoni wao!!!! Hiyo akiliii matope?
Kipaji cha ngololo?!!
Muziki sio huu ambao mwanamuziki hajui hata kupiga zumari.
Waliotengeneza hizo programs za kutengeneza mirindimo ndio wenye vipaji.
Aise kuishi shamba kuna tatizo sana, sasa nani anazungumzia huyo punda wa bashiteHabarini wakuu
Nimeshangaa sana nijuzi usiku diamond platnum alitoa nyimbo yake ya acha nikae kimya ambayo kiujumla Ali jaribu kuelezea mambo yanayo emdelea Tanzania na kajitahidi sana Ku balance lakini chakushangaza maneno machache tu yale NCHI imetikisika akati wakina NEY waliongea maneno mazito adi kukamatwa na hakuna kilicho tokea....
Ii INA mana gani au watu wanapenda sana kumfanya diamond asipotee kwenye ramani na azidi zungumziwa