Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,748
Ninaheshimu maoni yake na mimi natoa maoni yangu jinsi nilivyousikiliza na kuuelewa wimbo wakeWewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Unataka aimbe wimbo wenu wa kipuuzi Makonda amwachie Roma wakati hajamwona akimteka? tujifunze kuwa tunahifadhi maneno.Huu wimbo unamuweka upande hasi kabisa asubiri criticism, he will be condemned. Siku akitekwa yeye mama yake ndiye atakayelia mwenyewe maana na wengine watakaa kimya, lakini ameimba vizuri upande wa sauti vina na muziki
Ninaheshimu maoni yake na mimi natoa maoni yangu jinsi nilivyousikiliza na kuuelewa wimbo wake
Alipaswa akae kimya kama mama kipenzi alivyomuasa. Hapo hajakaa kimya keshapeleka ujumbe kunakotakiwa.Unataka aimbe wimbo wenu wa kipuuzi Makonda amwachie Roma wakati hajamwona akimteka? tujifunze kuwa tunahifadhi maneno.
Hapo penyew teyar katafuta kiki, au haujaelewa? Kaamua kuwa tofaut na wanaopingana na serikali, kwabkuongelea matukio yaleyale bt yeye anaamin vingine, angekuwa sio mtafuta kiki angeimba kitu kinginee kabisa kisichohusiana na hali ya sasa,Wewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Uchambuzi wa Wimbo...umenikumbusha mbaliii kwa mwalimu wangu wa kiswahili kwenye uchambuzi wa vitabu na mashairi..Ni katika wimbo wake mpya uitwao bora nikae kimya. Diamond amegusia ugomvi wa Makonda na Gwajima na ushiriki wa Mange. Amegusia tatizo la vyeti la Makonda na shinikizo la kutaka atenguliwe.
Katika wimbo huo mpya amegusia wimbo wa Ney na kukamatwa kwa Ney, kupotea kwa Roma.
Ametumia fasihi ya hali ya juu lakini wimbo huu unamuweka kwenye kundi la waoga wanaohofia maisha yao. Diamond anasema kwenye wimbo huo ameonywa na mama yake juu ya kusema chochote kwa yanayotokea.
Anasema kumekuwa na shinikizo kutoka kwa mashabiki wakimtaka aseme chochote kuhusiana na yanayoendelea na wengine wakimtuhumu kuwa anaogopa kusema kwa kuwa Makonda ni mlezi wa Wasafi.
Diamond anasema alishindwa kupost wimbo wa nay japo ni rafiki yake wa karibu (kwa sababu ya maudhui) lakini aliumia sana Nay alipokamatwa.
Amegusia pia mgogoro ya CCM na CHADEMA.
Ametumia ufundi wa kisanaa hasa kuwasilisha ujumbe wake, lakini wimbo huu unaweza kutafsiriwa kuwa anaonyesha woga katika kuipigania jamii yake na kukemea maovu katika jamii.
Pia udhaifu mwingine ni kwamba kutumia neno "eti" kwenye swala la kuvamiwa kwa clouds media kunamuweka upande wa wavamizi kwani anatilia shaka swala ambalo ni dhahiri lilitokea
Ni kweli angenyamaza hakuna cha maana alichoimba ni unafiki dai naye zero hamna kituBora tu angekaa kimya kuliko kutoa huu wimbo,tayari kashaonyesha anamtetea bashite ambaye anatiliwa mashaka kutokana na ishu za kufoji vyeti,kumiliki magari ya watu aliowataja kwenye matumizi/biashara ya madawa,kuvamia clouds media,tukumbuke alimpiga Warioba........
Bora kukaa kimya kuliko kuongea pumba ukaharibu cv yako,mondi kaonyesha kuwa ni pumba