Dialo ni ngome ya Lowassa??

Dialo ni ngome ya Lowassa??

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Leo mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza amenukuliwa na radio City fm akikosoa mfumo wa elimu na matokeo ya shule za kata. katika moja ya maneno yake amesema "tumewajengea shule kila kata, lakini wameshindwa kuziendeleza, matokeo yake vimekua vituo vya kutengeneza zero kwa watoto wetu"Hoja si shule za kata kufelisha ila hoja ni anaposema TUMEWAJENGEA SHULE. hizi shule zilijengwa na Lowasa.je Dialo nae ni kambi ya EL?
 
Kwanza ni muhimu ifahamike kuwa asilimia 99.9999999 ya wenyeviti wa ccm wa mikoa wapo upande wa Lowassa. Pili, Diallo ni rafiki wa karibu wa Lowassa tangu wakiwa kwenye awamu ya kwanza ya uongozi wa Jakaya Kikwete.
 
Kwa CCM, EL walau alikuwa anasukuma mambo
 
Mi naona ameongea ukweli tupu. Ni vizuri tujadili hoja ya ''tumewajengea shule wameshindwa kuziendeleza'' kuliko kumjadili yeye yuko kambi ipi.

Ukweli ni kuwa alikuwepo serikalini wakati ujenzi wa shule unaanza na akaondoka wakati shule zinatakiwa kuendelezwa. To me yuko sahihi kabisa, shule za kata hazijaendelezwa kabisa baada ya kujenga zile FOUR WALLS
 
Nimejifunza kitu hapa.
 
Back
Top Bottom