mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 125
- 37
Kuna tetesi kwamba mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza Anthon Dialo atagombea ubunge jimbo la kwimba kupitia chama chake cha ccm,hii imebainika baada ya kufanya sherehe ya kuwashukuru wananchi wa jimbo la kwimba kwa kumchagua kuwa mwenyekiti wao wa mkoa,sherehe hiyo ilifanyika Kata ya hungumalwa wiki jana.
Kwa ushauri wangu tu ni kwamba usije ukathubutu na kujidaganya kugombea ubunge jimbo la kwimba,hilo jimbo kwa sasa linasubiliwa na chadema kwa asilimia 100,aibu uliyoipata kwa kushindwa mwanza na kiwia itakuwa mara tatu ya aibu utakayoipata jimbo la kwimba 2015 ukijindanganya kugombea na ndio itakuwa kufilisika kisiasa na kubaki kuwa mfanyabiashara tu.
Mandago 2015 kwimba@

Last edited by a moderator: