WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
katibu mkuu wa rais mzee luhanjo ndiyo alimfukuza diallo uwaziri, halafu akadanganya umma eti na yeye amestaafu alijiuzulu kama lowassa
Katibu Mkuu wa Rais Mzee Luhanjo ndiyo alimfukuza Diallo Uwaziri, halafu akadanganya umma eti na yeye amestaafu alijiuzulu kama Lowassa
2015 CHADEMA inachukua nchi....
napenda njia anayotumia lowasa kupambana na maadui zake! Sijui angekuwa ana ongea kama wao ingekuwaje?
Huu mjadala utakuwa mtamu kesho
una maana kesho alhamisi?
atakuja usiogope mkuu hii vita tutashinda na ndo Safari ya matumaini umeanzaDah! Shughuli zimeanza rasmi kuelekea 2015 asiye na mtoto abebe jiwe. Mkuu Pasco mashambulizi dhidi ya mgombea wako kwa minajili ya kumparua yam kwenye ile kam
Atakuwa usiogope yupo njiani mgombea wako ambaye umeshasema mara nyingi hapa jamvini kwamba "unamkubali sana"
haina aja mzee lowasa kumwaga mboga kwa sababu ya mtu kama dialo angekuwa sumaye au pinda sawa dialo? Mzee atajishushia hadhi yake akimjibu dialo ni size ya lameck airoLowasa mwaga mbogaa
Mmmmmmh simpaka mnoga uwe nayo au iwepo inawezekana hiyo mnoga haipo utamwaga nini.Lowasa mwaga mbogaa
timu simama uhesabiwe timu safari ya matumaini okoa tanzania lowasamkuu na wewe ni timu gani? Tujuzane ili tukujue maana c.c.m unayoiongelea ilisha choka mithili ya mgonjwa wa ukoma!
Lakini kumbuka zipo sifa au matangazo ya aina mbili mazuri na mabaya haya ya lowasa ni matangazo mabaya anachafuka sana mzee lowasa ukweli mwingi unazidi kuwa bayana.Yaani lowasa ana rotate kwenye vichwa vya watu utadhani matangazo ya kampuni za simu za tigo voda na Airtel yaani kila dakika, kila siku. Tuliosoma masuala ya marketing hii ni advantage kwa mamvi kwenye safari yake... Ni sawa na CCM wanavyoiimba chadema kucha kuchwa...ni advantage kwa sisi makamanda
meatu yetu upo MzeeMmmmmmh simpaka mnoga uwe nayo au iwepo inawezekana hiyo mnoga haipo utamwaga nini.