Diagnosed with Rheumatic fever

Rheumatic fever can cause permanent damage to the heart, including damaged heart valves and heart failure. Treatments can reduce damage from inflammation, lessen pain and other symptoms, and prevent the recurrence of rheumatic fever
 
Pole sana mkuu, muombe mungu atakufanyia wepesi na utapona
 
MUNGU WA UPENDO NA REHEMA ASHINDWI KITU.
KWA UPENDO NA REHEMA ZAKE NINA IMANI KUWA ATAKUONDOLEA MAUMIVU.
MUAMINI YEYE TU MAANA ASHINDWI KITU.Ameen
 
Rheumatic fever can cause permanent damage to the heart, including damaged heart valves and heart failure. Treatments can reduce damage from inflammation, lessen pain and other symptoms, and prevent the recurrence of rheumatic fever
Yupo kwenye complicated phase kwa maana RHEUMATIC HEART DISEASE.

Akizingatia matibabu na ushauri wa wataalamu atakuwa na maendeleo mazuri na kupunguza kimbilio la kifo cha karibu.
 
Pole sana..hiyo option ya pili ya moyo bandia ipambanie..jitokeze kwenye mitandao au mashirika ya kiimani naamini utapata msaada.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo kwenye complicated phase kwa maana RHEUMATIC HEART DISEASE.

Akizingatia matibabu na ushauri wa wataalamu atakuwa na maendeleo mazuri na kupunguza kimbilio la kifo cha karibu.
Mkuu tiba yake ni ipi?? tofauti na hizo injection, maana nachoma ila sisikii nafuu
 
Mkuu tiba yake ni ipi?? tofauti na hizo injection, maana nachoma ila sisikii nafuu
Nafikiri kuna mseto wa dawa utakuwa umepewa kwenye kituo chako cha tiba. Na sindano zikiwepo. Mara nyingi tiba yake huchukua muda mrefu kidogo,kama miezi 3-4 hivi.
Kama utaona hakuna uafadhali nakusihi jitahidi urudi ukawaeleze tatizo hilo.
 
Pole sana. Asante pia kutukumbusha wazazi tusichukulie poa matatizo ya watoto wetu. By the way, Rheumatoid arthritis, Rheumatism, Rheumatic fever, Rheumatic disease?????? Hapa huwa nachanganya sana mafaili, kifupi sijui kuvitofautisha. Na nìkipita kwa Wamasai wauza dawa Arusha huwa wanajinadi wana dawa za Rheumatism, sasa sijui ni kipi hapo huwa wanatibia.
 
Its so sad...pole sana mkuu...vp umejaribu kwenda kituo cha magonjwa ya Moyo cha Jakaya?pale kuna wabobezi wa hayo mambo, inawezekana kukawa na way out ya tatzo lako ukiondoa hio ya moyo wa bandia...na km hio ndio njia ya pekee still watanzania wanaweza kukusaidia ktk swala la michango, u just need to be positive abt it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…