Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 46
Tuhuma hizi ni nzito sana,JM yabidi azifanyie kazi.
I beg to submit
I beg to submit
Hebu ziweke hapa hizo tuhuma....Tuhuma hizi ni nzito sana,JM yabidi azifanyie kazi.
I beg to submit
Hujaeleweka, labda zile alizotoa JMK kwa wateule wake kwenye semina elekezi. Kama hadi huko basi hatuna nchiTuhuma hizi ni nzito sana,JM yabidi azifanyie kazi.
I beg to submit
Itei tei lya Kiteee hizo habari nami nimesikia na kusoma hiyo barua ndefu saaaaana.
Kwa ufupi hiyo barua imeandikwa na mtu mmoja tena akijifanya ni mtumishi wa mahakama
ya rufaa akitoa kashfa nyingi kwa Msajili na viongozi wengine waandamizi wa mahakama
kisa ni kutopewa posho.Cha kujiuliza hapa yeye ni nani hadi ajifanya anawakilisha wenzie?
pili kama ni malumbano kuna idara au ofisi alipaswa kwenda kutoa malalamiko yake.
Hutu bwana anataka alipwe mshahara mkubwa wakati yeye ni mhudumu wa kawaida
na ambae hataki kujiendeleza ili apande cheo anataka julinganisha na wakuu wake wa kazi ni kichekesho?
Hizo kashfa hazina uthibitisho wowote ni majungu ukizingatia wafanyakazi wengi wa mahakama
ya rufaa hasa wahudumu ni wale wa darasa la saba fikiria wanachowaza hawa wanakurupuka
.Binafsi naona ni hoja ambazo hazina mshiko.hajathibitisha nani kaonewa, halipwi mshahara? dhuluma ipi nani kanyimwa mshahara? mhudumu anataka apande cheo kipi sasa awe karani? sceretary akiingia ofisini kwa bos wake akikaa kidgo hata kama
anaelekezwa jambo basi ataambiwa alikuwa anachombezwana boss wake.Hio barua inadai hata jaji mkuu
aliepita nae alikuwa na mahusiano ofisini hili jambo ni hatari kabisa hakuna JM mwenye haiba na heshima kama
Ramadhani.
Tuwapuuze hawa wafanyakazi wasiokuwa na shukrani wasiojua namna ya kutetea maslahi yao
ktk chombo husika badala ya kuandika majungu na kutishia kuwauwa wakuu wao wa kazi eti kama hawatasikizwa.
Naitetea mahakama ya Rufaa kwani naijua fika.
Kila niki attach document inagoma ngoja niwasiliane na Inv then tutaiweka hapa kila mmoja asomeHebu ziweke hapa hizo tuhuma....