Dhihaka ya Barabara ya IKULU...

Ikulu ya Chamwino Dodoma ilishajengwa tayari, kwa nini wasihamie huko na watuachie Dar yetu? Uroho wa kula huku na huku unawapa taabu sasa. Watazuia na mashua zinazoenda kwa kasi kuikaribia Ikulu? Watazuia submarine isisogelee ikulu?

 
..... na labda wanapanua handaki kuingia baharini
 
Duuhhh Mkuu WAHEED za siku nyingi?? Vipi ulikua umejichimbia wapi siku zote hizo au ulikua unatumikia kifungo cha MODS mkuu???? Karibu tena jukwaani.

Labda interejensia wamegundua kuwa wanaharakati watakaoandamana kupinga dowans kulipwa wanataka kupita hapo
 
Inawezekana kelele za magari zinam-destruct Mkulu anapokuwa anafanya mazoezi ya ndani........I'm not sure but just saying.
 
JIZI tu hilo! Na kadili linavoiba linazidisha mashariti ya kupita eneo lake! JIzi hilo hamna jipya..
 
Mkuu huwa jioni anafanya mazoezi beach, pale walipojaza udongo na kusawazisha. Halafu usiku kunakuwa na tafrija ndogondogo na washkjaji zake.
Hizo ndio sababu za kufunga barabara ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…