wewe...!Wanabodi, kwa wanaoishi ama kuelekea maeneo ya kigamboni mtakubaliana nami ktk hoja yangu hii.
Awali ile kona ya Ocean Rd Hospitali kuliwekwa bango (la majaribio) kuzuia magari kupita nyuma ya ikulu kuanzia saa 12 jioni hadi saa 12 ahsubuhi, hali hii imesababisha usumbufu kwa magari yanayokwenda feri hasa yanayovuka kwani ile junction ya soko la samaki kuna kuwa na vurugu kubwa ya magari nyakati hizo za kuanzia saa 10 hadi saa 3 usiku. Mantiki ya katazo hilo haikuwekwa wazi ambapo labda nikahisi ni masuala ya kiusalama (ingawa eneo lenyewe la ikulu limezungukwa na vibaka wenye njaa kali)
Hivi ninavyoandika hapa leo, ile barabara ya Ikulu imefungwa kabisa kwa magari kutopita muda wowote. Cha ajabu ni kwamba haijulikani amri ya kuifunga ile njia imetoka kwa nani na kwa sababu zipi.. Kuna mambo kadhaa niliyawaza hapa
Kwa maoni yangu ni kwamba huu ni uonevu mkubwa kuifunga hiyo barabara kwani kero za foleni ya kusubiria pantoni inakera mno. Ile hali ya kupitia njia ya Waziri mkuu inasababisha ajali zinazoweka kuzuilika...
- Labda eneo la mbele/nyuma ya Ikulu ni eneo hatari ama hatarishi kwa usalama wa mkuu wa nchi hivyo imetangazwa hali ya hatari kwa kipande hicho...
- Labda kwa sababu kuna uwezekano wa mambo ya kizani kuendelea kutamalaki hivyo kuzuia magari ni njia muafaka ya kufanikisha hayo
- Labda mamlaka ya Jiji inajipendekeza kwa mkulu
nani nyuma ya hii dhihaka?
Ikulu ihamie Bunju mbali na kadhia za mji, na rahisi kudhibiti kiusalama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Wanabodi, kwa wanaoishi ama kuelekea maeneo ya kigamboni mtakubaliana nami ktk hoja yangu hii.
Awali ile kona ya Ocean Rd Hospitali kuliwekwa bango (la majaribio) kuzuia magari kupita nyuma ya ikulu kuanzia saa 12 jioni hadi saa 12 ahsubuhi, hali hii imesababisha usumbufu kwa magari yanayokwenda feri hasa yanayovuka kwani ile junction ya soko la samaki kuna kuwa na vurugu kubwa ya magari nyakati hizo za kuanzia saa 10 hadi saa 3 usiku. Mantiki ya katazo hilo haikuwekwa wazi ambapo labda nikahisi ni masuala ya kiusalama (ingawa eneo lenyewe la ikulu limezungukwa na vibaka wenye njaa kali)
Hivi ninavyoandika hapa leo, ile barabara ya Ikulu imefungwa kabisa kwa magari kutopita muda wowote. Cha ajabu ni kwamba haijulikani amri ya kuifunga ile njia imetoka kwa nani na kwa sababu zipi.. Kuna mambo kadhaa niliyawaza hapa
Kwa maoni yangu ni kwamba huu ni uonevu mkubwa kuifunga hiyo barabara kwani kero za foleni ya kusubiria pantoni inakera mno. Ile hali ya kupitia njia ya Waziri mkuu inasababisha ajali zinazoweka kuzuilika...
- Labda eneo la mbele/nyuma ya Ikulu ni eneo hatari ama hatarishi kwa usalama wa mkuu wa nchi hivyo imetangazwa hali ya hatari kwa kipande hicho...
- Labda kwa sababu kuna uwezekano wa mambo ya kizani kuendelea kutamalaki hivyo kuzuia magari ni njia muafaka ya kufanikisha hayo
- Labda mamlaka ya Jiji inajipendekeza kwa mkulu
nani nyuma ya hii dhihaka?
Si nimesema Ikulu ihamie mbali na mji kama vile Bunju ili kudhibiti usalama, hata hivyo mambo yakichacha atafuatwa tuu mbona Ghadafi anatafutwa kwao Sirte!!!!!!!!!!!! Hilo la kufunga barabara sio jibu la usalama wake!!!!!!!!!!!!Acheni jazba ni sula la USALAMA tu
Mwalimu Nyerere jioni alikuwa anatembelea majirani zake Wamakonde wa Msasani, hakuwa na sababu za kuogopa watu!!!!!!!!!Huu ndio ufisadi wenyewe...kwanini Mwalimu JK Mwinyi hata Mkapa hawakufunga barabara....Watu tunahaha na mahali pa kupita wao wanafanya barabara kama mali binafsi.... Mie naomba huu mjadala usogezwe mbele wahusika waeleze kwanini maana sasa hivi kwa wingi wa magari nadhani kufunga barabara kwa matumizi binafsi ni kuwatesa wananchi
we una utani na magogoni heeee?jk=jinga kabisa
hii ni kwl kabsa,hvi kwli kwa mwendo huuu atatufikisha kweli?Ukiishi vizuri na watu unaowaongoza amani itadumu sana,lakini kama kiongozi anakuwa kama huyu itabidi waweke na waya za shoti kbs sababu maadui watamzunguka kila pahala.Nnasema hakuna aliejuu ya binaadamu mwenzie,wakiamua kukutafuna utafunwa tu hakuna cha jeshi wala kitu gani
Acheni jazba ni sula la USALAMA tu
jk=jinga kabisa