Dhihaka:Ati hiki ni choo cha wanafunzi

Ndio maana huwa madogo wanapiga machata ukutani kwa kutumia Nnya.
 
ukitaka kukata gogo hapo lazima uwe na mshikaji wa kukupigia chabo...
 
hapo hakuna kudondosha kubwa ....
 
ukitaka kukata gogo hapo lazima uwe na mshikaji wa kukupigia chabo...

Na hiyo chabo yenyewe labda akupe mgongo kama ni uso kwa uso gogo litageuka unyoya lipae hakitoki kitu hapo.
 
Mbunge wa huko awajibikie gharaka iwezekanavyo.

Wadogo wanaweza dumbukia chooni, hapo sakafuni sipaamini panaweza didimia muda wowote
 
Nchi yenye rasilimali kibao mpaka watu wanagawana billions lakini vyoo vya shule tunashindwa kujenga kwa kweli hii serekali ipumzike hakuna mahali imeweza.
 
hii imenikumbusha Sengerema Shule ya Wanaume!!!!!!
 
Mbunge wa huko awajibikie gharaka iwezekanavyo.

Wadogo wanaweza dumbukia chooni, hapo sakafuni sipaamini panaweza didimia muda wowote

Hatari tupu
 
Ooooh thats sound so sweet jamani.Kwanini umefunga nahii yako sasa kama nina siri nataka kukwambia nitafanyaje?

Ooops :confused2:!!!

Hiyo makitu huwa imefungwa full time baada ya kujua inatumiwa na raia ndivyo sivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…