Dharau za Lema kwa wana Arusha!

Dharau za Lema kwa wana Arusha!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,199
Eti Lema hapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawa sawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.
 
si ndo vizuri ili ccm mshinde kiurahisi bila bao mkono
 
Mdau kaumiaaa.

Unatakiwa ufurahie kwasababu ni advantage kwa mgombea wa chama chako CCM
 
kweli arusha tunayataka hayo maendeleo na maendeleo pasipo lema hakunaga lema watetemeshe watu hawapati usingizi kwa ajili yako arusha kura zako baba
 
Lema hajaleta maendeleo yoyote Arusha zaidi ya vurugu!

Na sasa hivi anaendelea kuprovoke polisi...mwenendo huu hauna manufaa kwa watu wa Arusha.
 
Sisi ndio tunamtaka huyo huyo .. ..
 
Lema hajaleta maendeleo yoyote Arusha zaidi ya vurugu!

Ulitaka akuletee maendeleo kitandani?

Na sasa hivi anaendelea kuprovoke polisi...mwenendo huu hauna manufaa kwa watu wa Arusha.

Polisi ni watumishi wa hali ya chini wasio na elimu wala kipato cha maana. Hawaelewi kutetewa wanajikomba kwa CCM. Sasa hapa Arusha CCM out bado kata moja. Wajitayarishe kwenda shule wewe ukiwepo maana mtaji wenu wa ujinga ni mzigo hapa Arusha lazima tuutue

Tulimtaka asifanye kampeni kwa kiasi fulani amesikia
 
Ulitaka akuletee maendeleo kitandani?

Polisi ni watumishi wa hali ya chini wasio na elimu wala kipato cha maana. Hawaelewi kutetewa wanajikomba kwa CCM. Sasa hapa Arusha CCM out bado kata moja. Wajitayarishe kwenda shule wewe ukiwepo maana mtaji wenu wa ujinga ni mzigo hapa Arusha lazima tuutue

Tulimtaka asifanye kampeni kwa kiasi fulani amesikia

Huijui Arusha wewe usiongee!
 
Wakati monaban anafanya kampeni lema anahamasisha vurugu!
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

Samahani mtoa mada naomba nikumbushe jina lako. Nano vile???
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

Samahani mtoa mada naomba nikumbushe jina lako. Nani vile???
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.
Ninyi ni kawaida yenu, watu wakidai mambo ambayo ni haki yao tayari mnatafsiri kuwa ni vurugu. Kwa Taafira yako ubunge wa Arusha CCM wanaenda kama wasindikizaji tu.
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

Wew ni mwana Arusha au proccm?
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

saga chupa ubwiye dogo... hiyo ndio siasa
 
Back
Top Bottom