Hahahaha hawa jamaa na hizi kodi zetu haya ngoja tuendelee na limovie letu.
Ila chanzo hii serekali legevu legevu.
Si rahisi kufukuzwa, aliajiriwa ili kuondoa malalamiko kwamba kuna mfumo fulani serikalini. Akifukuzwa itakuwa kazi kidogo kumpata mwenye sifa zinazolingana naye katika itikadi hiyoRais shupavu angelimfukuza siku hiyo hiyo aliyobwatuka kwenye tume
Mbele ya kamati ya maadili
yaani huyu jamaa ana dharau kama mbwa fulani hivi, hivi kiburi hiki chadema ikiingia watu kama huyu watakimbilia nchi gani? kwa ukata ulioko mtaani huu hivi alishindwa hata kuumbaumba maneno ionekane ana regret au walau asionyeshe dharau kama ile aliyoonyesha? duhhMbele ya kamati ya maadili