Bro. Abdul,
Mimi si mchumi, lakini ninavyofahamu kuna faida na hasara zake. inategemea na mchumaji mwenyewe. Ikiwa mchumaaji kama TRL, hawa ni wanyonyaji tuu na kilasiku ni malumbano tuu. Na kama mchumaji ni mzuri (faida kwa pande zote, mwekezaji na mkaribishaji na uwajibikaji) litakuwa na manufaa kwa maendeleo ya nchi. Manufaa yenyewe kama vile Ajira nyingi kwa wananchi, kupunguza umasikini, ....nk.