Dhana ya umri na Wanawake

Hahaaaa dogo umenichekesha sana. Wanakuja kwenu kwasababu bado hamna uzoefu wa kuhandle issues, kwahiyo akikutikisa atatikisika. Sisi huku ni visiki vya mpingu, akija vibaya adunda
hahaaaa ndio mana wanayo shida kwetu asee yani sasa ukute kazaa akikosana na baby daddy wake sie tunashushiwa hasiraa.......
 
Vijana bado mna nguvu pambaneni nayo hayo magumegume sisi wenye umri huu huku juu tumewachoka hao,
 
Nyie wavulana ndo muache kuwasumbua mnawapandisha hasira mpaka sisi wanaume tunapata kazi sana ya kuwabembeleza wakikimbilia kwetu
Watulizeni vizuri sio wakija humu ni kutuponda vijana na si tukianza kufurumusha mabomu watakimbia humu!!
 
Kumbe under 20
Rudi shule acha kuvamia ya baba zako,maana km ww ni under 20 mtu wa miaka 45 ni mzazi wako,
Kajifunze kwanza kutunza korodanyyy zako
 
Wanasumbua sana hawa wavulana

Inshaallah nimefarijika kusikia yu mzima...endelea kupitia pitia
Hahaaaa. Bora uwaweke tu sawa kwa kweli.

Niko poa mie Swahiba namshukuru Allah uzima upo nipo nazurura jf tu saa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…