Dhana ya umri na Wanawake

Sahihi kiongozi
 
Tunawaona humu aseeee sisi hatujakimbia mimba za watu ila hasira zote kwetu mnakuwaje aseee
Acha kuniambia ujinga wako, unawaona humu au ndiyo unapotoshwa na posti hizi za mademu acha kufuata mkumbo kijana utapotea.
 
Muwaache viben10 wamewashtukia siku hizi hamuwapi hela mnang'ang'ania shughuli yao tu

Hahhaaaaa
Hahaha
Hurumia mbavu zangu aki!!! Ndo maana nakufa na nyie wahenga wenzangu
 
Ona mlivokuja kuwa na hisia Kali Kali ahahaahaha yani umri ukienda na hasira hizo zinapanda..
Usinitishe aseee
Nakuchana laivu kijana, Jf itumie kwa akili usifuate akili za wana memba wengine humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…