Dhana ya umri na Wanawake

Dhana ya umri na Wanawake

TheGodfather95

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,763
Reaction score
1,834
Salama wakuu.....

Limeongezeka wimbi la wanawake wenye umri mkubwa kuanzia miaka 30-45 kutokuwa kwenye ndoa au mahusiano ya maana au kutokuwa na mtoto\watoto!!

Hali hii inapelekea hawa Dada zetu kuwa na mawazo na roho mbaya na kutojielewa...

Hasira zote zinatuishia sisi vijana under 25.....
Ivi sisi tumewakosea nini?? Kwanini msideal na wahenga wenzenu??
Sisi mtuache tupumue hatujakimbia mimba zenu wala kuwaharibia maisha.

Mnapokuja na thread zenu za hasira sisi mtuache bado vijana tunatafutaa mtuache kabisaa...
 
Back
Top Bottom