Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,121
- 2,064
Unamaanisha Moses Iyobo Mme wa Uncle Ezekiel?Juzi nimeskitishwa kusikia dancer mmoja wa diamond alieoa bingo movie anaitwa fusso jinsi anavobeba madawa kilo kwa makilo na kapigiwa simu kawekwa loud speaker anasema kwa kujigamba kama yuko njemaa tumeozaa jaman kwa madawa na watu wanajulikana mpaka maabara za majumbani zajulikana na mpaka posho wakubwa na plisi wanachukua na kusidikiza aaahhh acheni tu
mmhh! ndo maana bosi wake alikuwa karibu nalna mtoto boss enzi hizo....Unamaanisha Moses Iyobo Mme wa Uncle Ezekiel?
Yaaah ndio yy bila kuficha dogo anaenda south na kurud kama vile chooni kwa kupeleka madawa sio kwa kuambiwa ni kuthibitishaUnamaanisha Moses Iyobo Mme wa Uncle Ezekiel?
Una point ila siku nyingine andika kama msomi, humu sio fbJuzi nimeskitishwa kusikia dancer mmoja wa diamond alieoa bingo movie anaitwa fusso jinsi anavobeba madawa kilo kwa makilo na kapigiwa simu kawekwa loud speaker anasema kwa kujigamba kama yuko njemaa tumeozaa jaman kwa madawa na watu wanajulikana mpaka maabara za majumbani zajulikana na mpaka posho wakubwa na plisi wanachukua na kusidikiza aaahhh acheni tu
Hunijui sikujui hujalazimishwa kusoma mm naandika nnavotaka fanya yako bahariaUna point ila siku nyingine andika kama msomi, humu sio fb
huyo ndio kunguru haswaaHata mtumbua majipu anawaogopa?
Kuna mtoto kwao ni familia ya watabe wa flourJuzi nimeskitishwa kusikia dancer mmoja wa diamond alieoa bingo movie anaitwa fusso jinsi anavobeba madawa kilo kwa makilo na kapigiwa simu kawekwa loud speaker anasema kwa kujigamba kama yuko njemaa tumeozaa jaman kwa madawa na watu wanajulikana mpaka maabara za majumbani zajulikana na mpaka posho wakubwa na plisi wanachukua na kusidikiza aaahhh acheni tu
mimi nilishangaa... Aunt akolee kwa mkata mauno... Wakati yeye Al maarufu "sura ya pesa"...alafu dangote wa kuchorwa alimuwakia dimpoz ili asiseme mengi anayoyajua.. Nawaza aaahhhYaaah ndio yy bila kuficha dogo anaenda south na kurud kama vile chooni kwa kupeleka madawa sio kwa kuambiwa ni kuthibitisha
Usiwe mkali kubali kurekebishika ,leo na kesho utafail katika maisha kwa vitu vidogoHunijui sikujui hujalazimishwa kusoma mm naandika nnavotaka fanya yako baharia
Unaweza kuitenganisha na Mwenyezi MunguCcm huwezi kuitenganisha na chochote
Ritz....