Dhana ya ‘Rais Mtarajiwa’

Dhana ya ‘Rais Mtarajiwa’

Makamu wa wa raisi wa Richard Nixon alikuwa Spiro Agnew alikuwa na asili ya Ugiriki. Huyu mjamaa akiwa makamu wa raisi alipokea rushwa zaidi ya dola laki moja na akashtakiwa mahakamani.

Pia akakiri kosa la kutotangaza mali zake na ndo akajiuzulu. Hivyo Agnew alikuwa makamu wa Nixon kati ya mwaka 1969 na 1973.

Agnew alipojiuzulu, ndo Nixon akapendezeza jina la Gerald Ford kuwa makamu wake na ndie aliekuja kuwa raisi baadaya Nixon kujiuzulu.
Kwahiyo hizi kelele za TEC na makam was Sasa zinaweza shinikiza akajiuzulu ili ateuliwe mwingine!!?

Kwani nchimbi hana historian ya kujiuzulu!!?

Turudi maktaba!!
 
Hayaeleweki nawaza!
Unawaza vibaya.
Hao wote unaowazungumzia hawakuchaguliwa na waTanzania. Wamejitangaza tu kuwa wao ndio watawala; halafu "kuwaza kwako" kubaya unakubaliana nao kwamba wapo madarakani kihalali!

Hapo nawe unakuwa mshiriki wa kuhalalisha uovu kwa waTanzania.
 
Comrade fudging za uchaguzi Tanzania hazijaanza na samiah pekee!!

Tangu kipindi Cha pili Cha kikwete fodging ndio zilianza rasmi na matumizi ya nguvu ya dola ndio yalipoanzia vilivyo huki Tanganyika!!

Kwa sasa tofauti ni kwamba huyu ni mwanamke na ni mzanzibari ,kwani angekua mwanamme mtanganyika ndio kacheza faulo za uchaguzi unadhani nani angeandamana na vurugu kibao kama hizo za mo29!!?

Tuseme ukweli ,JPM 2020 na samiah 2025 wanatofauti gani walivyoingia madarakani!!?

Unafikiri kama chadema wangeshiriki uchaguzi na no reforms no election isingekuepo kungekua na neno!!?
 
Comrade fudging za uchaguzi Tanzania hazijaanza na samiah pekee!!
Kwa hiyo hii ndiyo 'justification' ya waTanzania wakubali yaishe; au una maana gani?

Kama siyo mara ya kwanza, ndiyo iwe sababu ya kukubali uovu wao? Kama umefanyiwa maovu mara ya kwanza, au mara mbili; huna sababu ya kuyakataa yanapoendelea?
Kwa sasa tofauti ni kwamba huyu ni mwanamke na ni mzanzibari ,kwani angekua mwanamme mtanganyika ndio kacheza faulo za uchaguzi unadhani nani angeandamana na vurugu kibao kama hizo za mo29!!?
Hizi ni sababu za kipuuzi kabisa zinazotolewa na wapumbavu.
Labda nikukumbushe tu, umesahau au umejifanya tu maksudi kutoweka na "dini yake" kuwa kisingizio cha upumbavu huo.
 
Makamu wa wa raisi wa Richard Nixon alikuwa Spiro Agnew alikuwa na asili ya Ugiriki. Huyu mjamaa akiwa makamu wa raisi alipokea rushwa zaidi ya dola laki moja na akashtakiwa mahakamani.

Pia akakiri kosa la kutotangaza mali zake na ndo akajiuzulu. Hivyo Agnew alikuwa makamu wa Nixon kati ya mwaka 1969 na 1973.

Agnew alipojiuzulu, ndo Nixon akapendezeza jina la Gerald Ford kuwa makamu wake na ndie aliekuja kuwa raisi baadaya Nixon kujiuzulu.
Okay
 
Nadhani Nape kwa sasa ni kama wale wachezaji wa Sub,
Yuko bench huko mbeleni wanaweza kumtumia.
Au uhalisia ni upi mkuu?
Hakuna kitu kama hicho hao wakikubwaga wamekubwaga unahisi kwanini nape kapewa ubunge lakini yeye kakatwa kwenye kula za awali?
 
Back
Top Bottom