Msukule kabla ya kukatwa ulimi huweza kurudi katika hali ya kawaida kinyume chake ni ngumuSamahani mkuu mshana jr naweza kuwa nje ya mada lakini naomba kujua kama misukule wa kike wanaweza kuzaa watoto?
Kama wanazaa,Je hao watoto wanaweza kuwa kama binadamu wengine tofauti na hao wazazi wao? au wanawapeleka wapi?
Je misukule inaweza kurudishwa tena ikawa kama binadamu wa kawaida?
Asante mkuuMsukule kabla ya kukatwa ulimi huweza kurudi katika hali ya kawaida kinyume chake ni ngumu
Kuhusu uzazi jibu ni hapana lakini nitalitafiti zaidi hili
Mkuu Naiweka vyema link yako: Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamumawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu ingia hapa
Je unatumia kifaa gani simu au pc? ili nikupenjia sahihi ya kupata link na kuiweka vyemaAsante sana nipe elimu umefanyaje?
Walimu Wako walipata kazi sana juu yako.Sijaelewa msukule ni nani? Mchawi ni nani? Anayetakiwa kuchunga ulimi (haujakatwa) ni nani? Confused.
Nimeipenda hiyo sentence ya mwishoKuna What's-up clip nililetewa inasema: Ulimi ni kiungo ambacho hakina mfupa lakini ni hatari sana, ukitaka kujua hatari ya ulimi, umewekewa walinzi 32 wanaokizunguka kiungo hicho. Ulimi ni gate la moyo wako na dunia, yaliyo moyoni kama ulimi hautayatoa utaingia kaburini hakuna anaeyajua.