Ni ndoto kweli kwa nchi kama yetu hii,.sera na mipango ya maendeleo ipo lakini likija suala la utekelezaji kitaifa,kila mtu anageukia sera ya chama/taasisi yake binafsi...
Hakika,.kama tunahitaji kuendelea kweli kama Taifa,.lazima tuache kuishi kwa mazoea kwenye mambo yenye kuleta tija kwa wananchi na nchi kwa ujumla wake,.Kuna udhaifu mkubwa bado. Tunahitaji kurekebisha baadhi ya mambo na kubadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika,.kama tunahitaji kuendelea kweli kama Taifa,.lazima tuache kuishi kwa mazoea kwenye mambo yenye kuleta tija kwa wananchi na nchi kwa ujumla wake,.
Shayu,
Naomba nipanue wigo wa mada yako ambayo nafikiri kimtazamo unaendana na mawazo niliyo nayo.
NItajaribu kujenga hoja yangu kwa kuangalia vitu viwili: maendeleo na uchumi.
Watanzania tunaaminishwa kuwa Chama au mwanasiasa atatuletea maendeleo; je maendeleo ni nini? ni kitu gani? na iweje chama cha kisiasa, serikali au mwanasiasa aweze kutuletea maendeleo? je Maendeleo kwa vyama vya siasa, serikali na mwanasiasa ni kitu gani? je kwa mwananchi, maendeleo ni kitu gani?
Juzi akipokea Airbus ya Pili, Rais alisema anataka Tanzania iwe kama Ulaya, akatuhamasisha kuwa Tanzania itakuwa kama ulaya, na zaidi ni msisitizo wake kuwa maendeleo na mabadiliko ya Tanzania yatakayofanyika na yanayofanyika ni kutokana na matakwa yake (si maamuzi ya wengi)!
Je hapo tunafafanuaje maana ya maendeleo? Je maendeleo ni vitu? mfano magari, nyumba, ndege, vivuko, na kadhalika? je leo kila mwananchi tukimpa atupe orodha ya vitu vitano ambavyo atasema ndio muhimu kwa maendeleo yake wote watakuwa na jibu linalofanana?
Mfano: kumletea Mtu maji ya bomba ni maendeleo versus mtu kutembea maili moja kuchota maji mtoni au kisimani? je maji ni maendeleo? je mtu anaelewa umuuhimu wa maji kwa maisha yake? je lishe, afya, usafi na furaha ya moyo? vina sehemu gani kwenye mfumo wa maendeleo wa mtu?
Tuje kwenye uchumi: Viashiria vinavyosemwa na Serikali na hata Chama Tawala ni kuwa Tanzania iko kwenye nchi zenye uchumi wa kati wenye ukuaji wa hali ya juu na tuko karibu kuingia daraja la kati la nzhi zinazoendelea. Je viashiria hivi ni uahlisia wa kweli wa Mtanzania?
Je upimaji wetu wa uchumi wa IMF, WB na bajeti kusema uchumi unakua kwa 7% mwaka huu, unatumia vipimo na viashiria gani? maana kama kimahesabu ya jumla ya GDP na GNP tunaonekana tunaneemeka, lakini Mtanzania anazama kwenye ufukara (not even umasikini), tunawezaje kusema uchumi unakuwa?
Je tunapima uchumi kutumia government purchasing and borrowing powers? what about mwananchi? je pato la mwananchi linaongezeka vipi ikiwa uchumi wa nchi unakuwa? je purchasing power imeongezeka au kuwa stable kwa miaka 5 iliyopita au purchasing power na savings zake zinasuasua?
Je kwa tafsiri zte za kukua kwa uchimi wa tiafa na maendelo, idadi ya wategemezi wa Serikali imepungua? nikiwa na maana watu wenye kutegemea ruzuku, kupata huduma za bure za serikali wenye utegemezi. je idadi ya wanaojitegemea imeongezeka kutokana na kukua huku kwa uchumi na hatua za maendeleo ya Taifa/
Kumradhi kama maoni yangu ni mapana mno au nimetoka nje ya wigo wa hoja yako kuu.
Hakuna chama au mwanasiasa anayeweza kuwaletea maendeleo watu. Watu hujiletea maendeleo wenyewe kwa kujituma na kufanya kazi. Infact serikali haina hela ya kuwaletea wananchi maendeleo wanategemea pesa kutoka kwa wananchi katika mfumo wa kodi. Kufikiri kwamba wao serikali wanaweza kuleta maendeleo bila juhudi za wananchi ni dhana ya kijinga. Kuendeleo kwetu na hata kujitegemea kwetu kunategemea sana wananchi kuliko serikali. Aina ya wananchi taifa iliyonayo ndio ina determine future ya nchi itakuwaje. Serikali ni mratibu tu na kazi ya kiongozi ni kuleta mwamko na kuuza tu maono yake au yao kama chama na kubadili fikra za wananchi, kuweka malengo na dira ambayo wananchi wataifuata lakini perfomance ni ya wananchi wenyewe. Wananchi ndio wanao perfom; ndio watendaji wakuu wa kile ambacho serikali inafikiria kutenda. Na kwakeli kama nchi ikifanikiwa na kuendelea sifa zote hupaswa kurudi kwa wananchi ambao kila siku huhenyeka kwenye kilimo, biashara na kazi nyingine za ukuaji uchumi na serikali huja tu kufuata kodi. Kuendelea kwa nchi kunategemea perfomance ya wananchi katika uzalishaji.Watanzania tunaaminishwa kuwa Chama au mwanasiasa atatuletea maendeleo; je maendeleo ni nini? ni kitu gani? na iweje chama cha kisiasa, serikali au mwanasiasa aweze kutuletea maendeleo? je Maendeleo kwa vyama vya siasa, serikali na mwanasiasa ni kitu gani? je kwa mwananchi, maendeleo ni kitu gani?
Juzi akipokea Airbus ya Pili, Rais alisema anataka Tanzania iwe kama Ulaya, akatuhamasisha kuwa Tanzania itakuwa kama ulaya, na zaidi ni msisitizo wake kuwa maendeleo na mabadiliko ya Tanzania yatakayofanyika na yanayofanyika ni kutokana na matakwa yake (si maamuzi ya wengi)!
Je hapo tunafafanuaje maana ya maendeleo? Je maendeleo ni vitu? mfano magari, nyumba, ndege, vivuko, na kadhalika? je leo kila mwananchi tukimpa atupe orodha ya vitu vitano ambavyo atasema ndio muhimu kwa maendeleo yake wote watakuwa na jibu linalofanana?
Mfano: kumletea Mtu maji ya bomba ni maendeleo versus mtu kutembea maili moja kuchota maji mtoni au kisimani? je maji ni maendeleo? je mtu anaelewa umuuhimu wa maji kwa maisha yake? je lishe, afya, usafi na furaha ya moyo? vina sehemu gani kwenye mfumo wa maendeleo wa mtu?
Mfano: kumletea Mtu maji ya bomba ni maendeleo versus mtu kutembea maili moja kuchota maji mtoni au kisimani? je maji ni maendeleo? je mtu anaelewa umuuhimu wa maji kwa maisha yake? je lishe, afya, usafi na furaha ya moyo? vina sehemu gani kwenye mfumo wa maendeleo wa mtu?
Je upimaji wetu wa uchumi wa IMF, WB na bajeti kusema uchumi unakua kwa 7% mwaka huu, unatumia vipimo na viashiria gani? maana kama kimahesabu ya jumla ya GDP na GNP tunaonekana tunaneemeka, lakini Mtanzania anazama kwenye ufukara (not even umasikini), tunawezaje kusema uchumi unakuwa?
e kwa tafsiri zte za kukua kwa uchimi wa tiafa na maendelo, idadi ya wategemezi wa Serikali imepungua? nikiwa na maana watu wenye kutegemea ruzuku, kupata huduma za bure za serikali wenye utegemezi. je idadi ya wanaojitegemea imeongezeka kutokana na kukua huku kwa uchumi na hatua za maendeleo ya Taifa/
Tuje kwenye uchumi: Viashiria vinavyosemwa na Serikali na hata Chama Tawala ni kuwa Tanzania iko kwenye nchi zenye uchumi wa kati wenye ukuaji wa hali ya juu na tuko karibu kuingia daraja la kati la nzhi zinazoendelea. Je viashiria hivi ni uahlisia wa kweli wa Mtanzania?
Hili bandiko lako linaturejesha kule kule kwenye hoja elekezi iliyopo kwenye mada yako ", inayosema tunahitaji taifa lenye watu wenye skills taifa lenye watu wazalishaji zaidi kuliko wanunuzi wa rasilimali zitokazo nje "..... NashukuruDhana ya maendeleo na uchumi ni vitu viwili vinavyoendana kimsingi. Hakuna maendeleo bila uchumi kukua.Na uchumi ni CAPITAL. Hapa hatuwezi kuzungumzia uchumi bila uzalishaji au kwa maana nyingine kazi zinazopelekea kwenye uzalishaji.
Hakuna chama au mwanasiasa anayeweza kuwaletea maendeleo watu. Watu hujiletea maendeleo wenyewe kwa kujituma na kufanya kazi. Infact serikali haina hela ya kuwaletea wananchi maendeleo wanategemea pesa kutoka kwa wananchi katika mfumo wa kodi. Kufikiri kwamba wao serikali wanaweza kuleta maendeleo bila juhudi za wananchi ni dhana ya kijinga. Kuendeleo kwetu na hata kujitegemea kwetu kunategemea sana wananchi kuliko serikali. Aina ya wananchi taifa iliyonayo ndio ina determine future ya nchi itakuwaje. Serikali ni mratibu tu na kazi ya kiongozi ni kuleta mwamko na kuuza tu maono yake au yao kama chama na kubadili fikra za wananchi, kuweka malengo na dira ambayo wananchi wataifuata lakini perfomance ni ya wananchi wenyewe. Wananchi ndio wanao perfom; ndio watendaji wakuu wa kile ambacho serikali inafikiria kutenda. Na kwakeli kama nchi ikifanikiwa na kuendelea sifa zote hupaswa kurudi kwa wananchi ambao kila siku huhenyeka kwenye kilimo, biashara na kazi nyingine za ukuaji uchumi na serikali huja tu kufuata kodi. Kuendelea kwa nchi kunategemea perfomance ya wananchi katika uzalishaji.